Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

Huu ni uwongo wa wazi. Inafanya hivi kumfurahisha nani?
Inafanyika hivyo kuwatia moyo polisi pindi likitokea sekeseke wawe mstari wa mbele kuwaua raia. Inaonekana mambo ya polisi huyajui vizuri mkuu. Polisi hapandi cheo hadi afanye matukio mkuu.
 
Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo mara dufu.

Hili jambo halishangazi kwa sababu imekuwa ni jambo la kawaida kwa serikali kuwapandisha vyeo polisi pale wanaposhiriki kufanya mauaji holela kwa raia wa nchi hii. Kipindi cha nyuma ziliwahi kutokea fujo maeneo ya Mkuranga na Kibiti ambapo polisi walikuwa wakivamia misikitini wakati wa swala na kuwapiga risasi za moto waumini kwa kisingizio cha kutafuta magaidi. Katika sekeseke hilo, walionusurika ni wale tu wasiovaa kanzu na hawafugi ndevu. Mtu yeyote aliyekuwa akionekana maeneo yale akiwa amevaa tu kanzu au amefuga ndevu, dawa yake ilikuwa ni kumpiga chuma na kisha kuchukua mwili na kuondoka nao.

Tukio la wizi wa miili ya maiti uliofanywa na polisi kipindi kile hautofautiani sana na wizi wa miili uliofanywa na polisi wakati huu.

MAONI YANGU
Serikali ya mama Samuya ndiyo iliyochochea mauaji yaliyopita na siku zote ndiyo inayochochea machafuko yote kati ya polisi na raia katika nchi hii. Utawapandishaje vyeo polisi kwa sababu ya kushiriki kwenye uhalifu? Kumbe polisi walikuwa wanafanya mashindano ya kuwaua raia ili wapandishwe vyeo? Kwa hiyo, tukisema kwamba serikali ndiyo iliyosababisha polisi kuwaua zaidi ya wananchi 10,000 ili wapande vyeo ni sahihi kabisa. Na mama Samuya anapotakiwa kwenda ICC kupambana na kesi yake ni sahihi kabisa.
​
kuna watanganyika wanajiita wana ccm yaan mpk aibu nasikia , hv lin Mtanganyika ataanza jitambua
 
Kuta za Siri za usalama was taifa zinapofanya compromise na viongozi wanyonyaji matokeo yake ni haya!

Kabla jpm na samiah hawaiashika dola Kuta za siri zilikuwepo Sasa kama zilikuwepo waliwezaje kuvumilia uozo!!?

Vipepeo popote pale mlipo mjue ni nyie ndio mmetufikisha hapa sio samiah wala jpm,samiah ameshaonyesha uwezo wake ndio huo!

Kazi yenu ni moja kuamua nani akalie kiti ambaye atafaa mstakabali wa taifa!!
Mpumbavu kabisa wewe na mshenzi! hao unaowasema wanatakiwa ku-face justice! hawawezi kutuamulia tena nani anafaa kuongoza, that era has gone!
 
Wa
Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo mara dufu.

Hili jambo halishangazi kwa sababu imekuwa ni jambo la kawaida kwa serikali kuwapandisha vyeo polisi pale wanaposhiriki kufanya mauaji holela kwa raia wa nchi hii. Kipindi cha nyuma ziliwahi kutokea fujo maeneo ya Mkuranga na Kibiti ambapo polisi walikuwa wakivamia misikitini wakati wa swala na kuwapiga risasi za moto waumini kwa kisingizio cha kutafuta magaidi. Katika sekeseke hilo, walionusurika ni wale tu wasiovaa kanzu na hawafugi ndevu. Mtu yeyote aliyekuwa akionekana maeneo yale akiwa amevaa tu kanzu au amefuga ndevu, dawa yake ilikuwa ni kumpiga chuma na kisha kuchukua mwili na kuondoka nao.

Tukio la wizi wa miili ya maiti uliofanywa na polisi kipindi kile hautofautiani sana na wizi wa miili uliofanywa na polisi wakati huu.

MAONI YANGU
Serikali ya mama Samuya ndiyo iliyochochea mauaji yaliyopita na siku zote ndiyo inayochochea machafuko yote kati ya polisi na raia katika nchi hii. Utawapandishaje vyeo polisi kwa sababu ya kushiriki kwenye uhalifu? Kumbe polisi walikuwa wanafanya mashindano ya kuwaua raia ili wapandishwe vyeo? Kwa hiyo, tukisema kwamba serikali ndiyo iliyosababisha polisi kuwaua zaidi ya wananchi 10,000 ili wapande vyeo ni sahihi kabisa. Na mama Samuya anapotakiwa kwenda ICC kupambana na kesi yake ni sahihi kabisa.
​
Anawapa motivation ya kuendelea kuua tena
 
Yes. Anawapa motisha na kuwapongeza kwa kazi nzuri waliyofanya ya kuua raia na kisha kuchoma miili yao kwenye tanuru la Wazo Hill na mingine kuizika kwenye kaburi la halaiki huko Mabwepande.
 
Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo mara dufu.

Hili jambo halishangazi kwa sababu imekuwa ni jambo la kawaida kwa serikali kuwapandisha vyeo polisi pale wanaposhiriki kufanya mauaji holela kwa raia wa nchi hii. Kipindi cha nyuma ziliwahi kutokea fujo maeneo ya Mkuranga na Kibiti ambapo polisi walikuwa wakivamia misikitini wakati wa swala na kuwapiga risasi za moto waumini kwa kisingizio cha kutafuta magaidi. Katika sekeseke hilo, walionusurika ni wale tu wasiovaa kanzu na hawafugi ndevu. Mtu yeyote aliyekuwa akionekana maeneo yale akiwa amevaa tu kanzu au amefuga ndevu, dawa yake ilikuwa ni kumpiga chuma na kisha kuchukua mwili na kuondoka nao.

Tukio la wizi wa miili ya maiti uliofanywa na polisi kipindi kile hautofautiani sana na wizi wa miili uliofanywa na polisi wakati huu.

MAONI YANGU
Serikali ya mama Samuya ndiyo iliyochochea mauaji yaliyopita na siku zote ndiyo inayochochea machafuko yote kati ya polisi na raia katika nchi hii. Utawapandishaje vyeo polisi kwa sababu ya kushiriki kwenye uhalifu? Kumbe polisi walikuwa wanafanya mashindano ya kuwaua raia ili wapandishwe vyeo? Kwa hiyo, tukisema kwamba serikali ndiyo iliyosababisha polisi kuwaua zaidi ya wananchi 10,000 ili wapande vyeo ni sahihi kabisa. Na mama Samuya anapotakiwa kwenda ICC kupambana na kesi yake ni sahihi kabisa.
​
Yote yanawezekana kwa samia
 
Mmmh
Unanitisha
Si wamesema ile ni mikwara?
Kaisikilize tena.. kasema hii ndio mara yake ya mwisho kuongea ikivuka hii na no action hakuna atakae msikiliza tena ataonekana km vile ni hopeless.. tunataka kusikia somewhere limetokea jambo na jambo hilo watu walishaambiwa wakajifanya hawasikii.. sasa wale wasiosikia au wanasikia ila wanajifanya hawasikii kuna namna ya kuwazibua masikio na watasikia.. wakishazibuliwa utasikia mlio na huo mlio ndio mimi nausubiria.. wameambiwa 24 hrs wawe wamemuachia HP zikipita hizo na hawajamwachia tusubirie mlio somewhere mtu yupo atatoa mlio mimi hii sichukulii km utani
 
Aliyeua Watanganyika zaidi ya 20,000 ni Amiri Jeshi Mkuu Rais Samuya.
 
Kaisikilize tena.. kasema hii ndio mara yake ya mwisho kuongea ikivuka hii na no action hakuna atakae msikiliza tena ataonekana km vile ni hopeless.. tunataka kusikia somewhere limetokea jambo na jambo hilo watu walishaambiwa wakajifanya hawasikii.. sasa wale wasiosikia au wanasikia ila wanajifanya hawasikii kuna namna ya kuwazibua masikio na watasikia.. wakishazibuliwa utasikia mlio na huo mlio ndio mimi nausubiria.. wameambiwa 24 hrs wawe wamemuachia HP zikipita hizo na hawajamwachia tusubirie mlio somewhere mtu yupo atatoa mlio mimi hii sichukulii km utani
Nimemsikiliza vzr sn
Ila kawaida wajuaji wa jf wanasema ni mikwara
 
Back
Top Bottom