Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi
Kila siku wanapanga...
Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja
Nitamtaka achague moja kati ya haya:
(a) Aingie...
Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira.
Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔.
Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko kuwa na elimu iliyokosa akili.
Habari za saa wakuu,
Je, kwa wale wenye vyeti vya early childhood education kwenye mfumo wa tamisemi na nyie mnapata options kama zangu kwenye masomo ya kufundisha maana mimi naandikiwa all primary subjects sasa sijajua nyie wenzangu inaandikaje?
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliambia Bunge leo kuwa Fedha hizo zimelipwa kutoka katika Mifuko ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSSSF ikiwa ni agizo la #RaisSamia kutaka wahusika walipwe stahiki zao.
Fedha hizo ni sehemu ya michango ya Wafanyakazi 14,516 walioondolewa kwa kukosa sifa baada ya...
Kamishna Msaidizi wa Polisi Michael Deleli ambae pia ni Mkuu wa Dawati la Elimu ya Usalama Barabarani amesema ukaguzi huo utahusisha Madereva wenye madaraja C na E ambao wanaendesha Mabasi ya Abiria, Taxi na Magari ya Mizigo.
Kwa mujibu wa Kamishna Deleli, zoezi hilo linafanywa Nchini kote...
Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja.
Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM
Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly.
Kwanini sehemu ya...
Kumekuwa na usumbufu usio na ulazima kwa baadhi yetu ambao tumewahi kukutana nao,inapotokea unatakiwa vyeti kwa lengo fulani mfano,fao la kustaafu,fao la uzazi,ajira nk.
Usumbufu unaojitokeza ni pale majina yako yanapotofautiana kwenye vyeti na nyaraka mbalimbali.
Unakuta mtu unaitwa John...
Kusema ukweli!
Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana!
Mfano...
Wiki hii tumeshudia bungeni wabunge na mawaziri wakiringishiana viwango vya elimu wengine wakitamba na PHD zao kwamba ni za darasani sio za kupewa na wengine wakiambiwa hawana elimu ni waganga wa kienyeji.
Ni muhimu Spika wa Bunge kuruhusu uhakiki wa vyeti vya elimu kwa wabunge ili kujua ukweli...
Hello Tanzania.
Wale waliokuwa wanapinga na kujiapiza kwamba kamwe vyeti Fake hawatalipwa wajitokeze Sasa kuja kujamba tena upuuzi wao..
Hongera sana Serikali na Rais mwenye utu Kwa kuwalipa stahiki zao Watumishi waliofukuzwa na Dhalimu Kwa vyeti Fake..
Mtu alikuwa Mwizi afu anakuja kuharibu...
Habari wanajamii wenzangu,
Baada ya salamu niwapeleke moja kwa moja kwenye hoja
Kuna hili swala ya kuthibitisha vyeti kwa kutiwa muhuri wa mwanasheria, vyeti hivyo ni kama;
(cheti cha kuzaliwa na vyeti vya elimu katika ngazi mbalimbali utakazo kuwa umepitia kama astashahada, stashahada...
Habari wadau wa ajira,
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
Habari wadau wa ajira,.
Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
Habarini,
Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa.
Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana...
Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo amewataka waajiri wote kuhitimisha utumishi wao kwa kuwalipa stahiki zao.
=========
RAIS SAMIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.