vyeti

  1. BARD AI

    Ili waolewe, Wanawake nchini Iran watakiwa kuwa na vyeti kuthibitisha kuwa mabikira

    Nchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine wanaume hudai cheti cha ubikira, jambo ambalo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaona ni kinyume na haki za binadamu. "Ulinidanganya nikuoe kwa sababu wewe si bikra. Hakuna mtu ambaye angekuoa ikiwa...
  2. R

    Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  3. Funa the Wild

    SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  4. Roving Journalist

    TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  5. S

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  6. MR LINKO

    Makubwa! Kanisa lawapima ubikira wanawake, lawapa vyeti

    Kanisa moja la Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Inaripotiwa kwamba Kanisa la Nazareth Baptist mjini Durban, Afrika Kusini lilianza mazoezi hayo ili kuwahimiza wanawake wachanga kanisani kutunza ubikira wao...
  7. Rusumo one

    Kupotelewa kwa vyeti.

    Habarini za mchana wakuu. Kuna mtoto wetu anaitwa Adela Antony Mnyenyelwa kapotelewa na begi kwenye daladala asubuhi ya Leo akitokea Buzuruga stendi to Nyegezi Stendi. Kwa maelezo yake ni kuwa alisimama ktk daladala kwa kukosa kiti na alikuwa na mabegi 2 aliposhuka alianza kuchukua begi...
  8. Waibi fredy

    Badala ya Vyeti kutofanya vizuri mtaani nimeanza na hii business (Party and rental Items )

    Habari ndugu zangu. Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri kwa mwenye kukodisha vitu na yule mpambaji . Tuanze na mkodishaji vitu - huyu mtu mtaji wake ni...
  9. Roving Journalist

    Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  10. B

    Msaada wa namna vyeti vya kuzaliwa vinajazwa siku hizi

    .
  11. Kididimo

    NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
  12. gzenas

    Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

    Habari wana JamiiForums naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500...
  13. Z

    Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
  14. N

    Ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva

    Habari wadau! Katika mitandao ya kijamii kuna clip inamuonesha Kamanda wa usalama barabarani akiongelea juu ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva. Nasisitiza hapa amesema MADEREVA WOTE WA MAGARI. Narudia " MADEREVA WOTE WA MAGARI WATEMBEE NA NAKALA ". Hatua kama hiyo italeta taafurani...
  15. J

    Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

    Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini? Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Makonda kughushi vyeti: Ni wakati muafaka kwa mamlaka kushughulikia madai haya

    Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha ya tuhuma kuvurumushwa kila kona. Nakumbuka rais Magufuli alilazimika kujibu tuhuma zile kibabe...
  18. P

    Marekebisho ya majina katika vyeti

    Msaada tutani wadau mwenye uelewa kuhusu jinsi ya kurekebisha jina lililokosewa kwenye vyeti msaada maana jina la vyeti vingine ni PASCHAL lakini cheti kimoja ni PASCAL je inamadhara katika maombi ya ajira , mikopo nk ?
  19. Equation x

    Kuelimika ni kuwa na vyeti vingi?

    Tunaamini mtu aliyeelimika, anakuwa na uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za jamii. Ingawa kuna baadhi ya watu wanaamini, kuwa na vyeti vingi ndio kuelimika; ambapo si kweli. Kuwa na vyeti vingi bila kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za jamii, ni sawa na kusoma magazeti ya udaku na baadaye...
  20. sekhal

    Gharama za ku-certify vyeti mahakamani, fedha inaenda wapi?

    Habari zenu wana JF, Kuna huu mfumo binafsi siuelewi na sielew alieanzisha alikua na maana ipi. Taasisi kubwa kama utumishi na baadhi ya taasisi za umma na binafsi, pindi wanapotoa tangazo la nafasi za Kazi wanakuambia uambatanishe current certified copies, cha kushangaza siku ya interview...
Back
Top Bottom