vyeti

  1. yuda75

    Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

    Habarini wana JF, Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani. Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania. Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree...
  2. J

    Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  3. LOTH HEMA

    Vyeti vya ndoa

    Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata. Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite. Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...
  4. S

    Je, vyeti vya 'Roots and Shoots' vimewahi kuwasaidia?

    Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute. Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho? Asante
  5. Infantry Soldier

    Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao? Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
  6. YEHODAYA

    Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

    Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu Pia walitakiwa...
  7. R

    Wafanyakazi wa Serikali na waliofukuzwa kwa vyeti, na wafanyabisahara tutawatwisha lawama ni zenu katika Uchaguzi huu

    Hakuna nyumba isiyokuwa na mfanyakazi na mfanyabiashara. Nyinyi ni waelewa wa kinachoendelea kwetu nchini. Mmeumizwa sana! Kwanini tutawalaumu? Ushindi wa kuleta mabadiriko uko mikononi mwenu uchaguzi huu. Kwa vipi? Kila mmoja akiwa na wapiga kura 100, basi mabadiriko tayari. Hapiti mtu! Hata...
  8. Murashani GALACTICO

    Tunaokutana na changamoto za uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa kutoka kwenye e-Service za RITA

    Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa. Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema...
  9. Titicomb

    UHAKIKI VYETI: Tanzania tunaendeleza baadhi ya itifaki na michakato iliyopitwa na wakati tunapoteza muda bila sababu

    Kuna baadhi ya michakato (processes) na itifaki (protocols) ambazo tulirithi toka kwa wakoloni na awamu zilizopita ilikuwa muhimu wakati ule sababu office automation haikuwepo. Kwa sasa hali ni tofauti baada ya maendeleo makubwa ya teknolojia ya mawasiliano. Kuwadai watu wanao omba kazi au...
  10. J

    Nimefanya uhakiki wa vyeti RITA lakini mpaka sasa sijapata majibu

    JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU, NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
  11. pombe kali

    Pongezi Vyeti vya Kuzaliwa kutolewa ngazi ya Mtaa na Kitongoji bure

    Miongoni vya vitu nilivyo vifurahia kwenye uongozi wa sasa ambapo huduma za Vyeti vya Kuzaliwa kutolewa kwenye ofisi za serikali ya mtaa/ kitongoji au kata bure kwa watoto chini ya miaka mitano. Ilikuwa ni utaratibu wa kusikitisha kuona wazazi na watoto wadogo wakitumia siku nzima kusongamana...
  12. Mgiriki MTz

    Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
  13. S

    Zoezi la kugawa vyeti kwa wabunge wa CHADEMA ni bora lingefanywa na CHADEMA Makao Makuu

    Nakumbuka siku chache baada ya Bunge kuvunjwa,nilitoa pendekezo kupitia Jukwaa hili la Siasa nikipendekeza wabunge wa CHADEMA waliomudu kumaliza ubunge wao wakiwa ni wabunge wa chama hicho wapewe vyeti kama njia mojawapo ya kuwapongeza kumaliza ubunge katika mazingira magumu waliokuwa nayo, na...
  14. madola

    Waliosoma BCOM UDSM na shida ya vyeti vyao kwenye ajira

    Kama mnakumbuka miaka ya nyuma wale waliosoma BCOM University of Dar es salaam walikuwa wanamajor au wanachagua kwenye core kozi mwaka wa pili kama utasomea accounting,human resources, management science,finance au banking. Lakini ukimaliza chuo mwaka wa mwisho vyeti vyao havikuandikwa kwamba...
  15. S

    Uchaguzi 2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

    Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako kitakuteua kuwa mgombea wao) uwe na ahadi zako kama mgombea uraisi na hizi nitazotaja hapa chini ziwe ni...
  16. MK254

    Shukrani sana wataalam na wakuu wa Kenya kwa kuendelea kuwapima Watanzania hata wakija na makaratasi eti vyeti

    Hawa majirani tunaowajua sio wa kuchekwa nao, lazima uwe makini, vyeti watafoji kariokoo na kuja navyo eti wamepimwa, au hata wapewe tu na mamlaka zao huko bila kupimwa, kwa sasa wameshajidanganya hawana corona, hivyo utakuta hata vipimo vyenyewe hawavifanyi ili wasimuaibishe rais kwa kauli zake...
  17. Libya

    Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

    Sent using Jamii Forums mobile app Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya...
  18. Mwanamayu

    Huyu 'Masanja Mkandamizaji' amechemka hapo, kwanza ana vyeti vya shughuli zake?

    Kuna nchi nyingine wanafanya mahojiano na wananchi kwa namna alivyofanya 'Masanja', lakini maudhui yote inawekwa hewani, sasa huyu iweje afanye censorship - kuchagua hasi tu? Kwanza alihoji wangapi? Na wangapi walikuwa hawajui? TCRA wanatakiwa kumhoji pia kwa suala hili. Pia je ana taaluma ya...
  19. gwamipascal

    Utambuzi wa vyeti feki (Al-Maarufu vya Kariakoo)

    Naomba kuongezewa maarifa au ufaham juu hili swala la vyeti fake. Namaanisha hiv swala la kutambua vyeti fake linafanywa kwa style gan? Je, watumia macho ya kawaida kwa kutazama tu au kuna mashine maalum inayotumika kuvitambua? Kama ni macho ya kawaida bas ni sawa lakin kuna njia tofaut bas hapo...
  20. gwamipascal

    Kuwa na vyeti vingi sio kigezo

    Naomba waheshimiwa mnielewe kwenye huu uzi nilioandika hapa... Kumekua na tabia ya watu waliosoma degree au masters au level zingine za elimu ya juu kuwakatisha tamaa wale ambao hawaja fanikisha kupata elimu hizo. Leo nataka tuwekane sawa ili kama ulikatishwa tamaa na kuhis huwez kupata...
Back
Top Bottom