Naanza mada hii kwa kujadili hatua mbalimbali, ingawaje hatua moja inaweza isiwe na umuhimu kwa mwingine lakini ikawa chachu ya kujitathimini hatua uliyopo.
Wakati Upo Chuo.
Kwa sie masikini hatua hii ni muhimu sana katika kuandaa maisha yetu ya mtaani baada kumaliza chuo. Ukichanga karata...
MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA
Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa.
Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia...
Wapendwa habari!
Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.
Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
Habari wadau!
Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia...
Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.
Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako.
Sifa ya vyeti
O-level kina masomo 10 hakina F
A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam
Degree ya Sua na Post graduate diploma...
Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics.
Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa.
Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya...
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limesitisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa soko mkoani Kilimanjaro huku usitishwaji huo ukiacha maswali mengi kuliko majibu
Kwanza wamesitisha mchakato huo huku tararibu zote zikiwa zimefanywa ikiwamo usaili wa wagombea pamoja na uhakiki wa vyeti vya elimu...
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
========
MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja yangu ambayo nataka niijenge hapa, pamoja na kuunga mkono zoezi la serikali kuwatambua watumishi wenye...
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi
Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.
Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
Hello JF
leo nimewaza,
Displacing older workers with 'better educated young persons' has not been wise,,,,
,its unfair because these older people might have valid reasons as to why they are not qualified,.
one including missing (quality) education opportunities while they were young due...
Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni.
Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo...
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.
Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.