UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon.
Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti vya COVID-19.
===
France Arrests 13 on Suspicion of Faking 60,000 Covid...
Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza.
Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
Nawasalimu kwa jina la JMT
Moja kwa moja niende kwenye mada.
Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma.
Heko..! Kwa...
Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk...
Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500...
Habari za majukumu wakuu,
Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa kuendelea kusoma ngazi ya cheti kwa fani ya ualimu na sasa ni mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani...
Salaamj Wana JF.
Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania.
Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI
Serikali imesisitiza kutowarejesha kwenye Utumishi wa Umma Watumishi 15,538 walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo katika kumbukumbu zao rasmi za kiutumishi kuwa wana elimu...
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
===
SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania
Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli?
Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia
1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi walivyopwaya, na bado hakuchukua hatua yoyote, matokeo yake tukawa tunakimbizwa tu kati na kina ukwe...
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China.
I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
Leo nimeambiwa eti 'baada ya kumaliza chuo wahitimu wote wanapaswa ku-verify vyeti vyao kwa mwana sheria na vipigwe muhuri ndipo vitumike.'
Binafsi, naona hili suala sijalielewa.
Kwanini tunapaswa ku-verify vyeti ? Ina maana institute tulimosoma hazijulikani, au haziaminiki ? TCU taarifa za...
Zanzibar: Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Labaini uwepo wa vyeti fake Mjini magharibi pamoja na mihuri.
Jeshi hilo limebaini sehemu ambapo vyeti fake pamoja na mihuri imebainika, vyeti hivyo na mihuri ni pamoja na Vyeti vya shule (msingi, sekondari na vyuo), vyeti vya ndoa, vyeti vya kugushi vya...
Hasa shule hizi za watu binafsi wanaamini sana vyeti. Unaweza kuta mtu alimaliza form four akapata A's za physics na mathematics lakini akaamua kwenda kusoma HGL just kwa kupenda tu lakini siyo kwa kufeli. Ila unakuta labda uliamua kusoma sheria na huna ajira na baadae ukaamua uaply kufundisha...
Mkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu uliopangwa na watapewa taarifa.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.