vyombo vya habari

  1. GENTAMYCINE

    Vyombo vya Habari Tanzania imarisheni 'Maslahi' kwa Waandishi wenu ili wasiwe wanang'ang'ania ziara za Wakubwa zinazowauwa kwa ajili ya Posho

    Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo. Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
  2. R

    Vyombo vya habari Tanzania: Press Release ya Ndugai wao wanaita "Barua"

    Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine...
  3. beth

    Poland: Rais apiga marufuku Sheria ya Vyombo vya Habari

    Rais wa Poland Andrzej Duda leo ametumia kura yake ya turufu kukataa sheria tata ya umiliki wa vyombo vya habari ambayo wakosoaji wanasema inalenga kunyamazisha kituo cha habari cha TVN24 kinachomilikiwa na Marekani. Katika taarifa kupitia televisheni, Duda amesema kuwa ameipinga sheria hiyo...
  4. chiembe

    TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  5. J

    Ndugu za wanaoshikiliwa ktk mahabusu mbalimbali, kwa tuhuma za Ugaidi, wazungumza na vyombo vya habari.

    ..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
  6. B

    Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  7. ommytk

    Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  8. Tz boy 4tino

    Maelfu waandamana Addis Ababa kupinga propaganda za vyombo vya habari vya magharibi

    Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari kupambana na vikosi vya Tigray kama wataitaitajika kufanya hivyo kulitetea taifa hilo.
  9. beth

    Ukatili wa kijinsia kwenye Vyombo vya Habari

    Taasisi husika zinashauriwa kuwa na mpango mkakati wa kutoa elimu za mara kwa mara maeneo ya kazi ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa ya ngono katika vyombo vya habari Vilevile ni muhimu kuanzishwa dawati huru la kuripoti kwa siri vitendo hivyo pale vinapotokea
  10. J

    Waziri Dkt. Kijaji avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru

    Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru Na. Paschal Dotto-MAELEZO Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na kufanya kazi na vyombo vya habari katika kutangaza mambo...
  11. JF Member

    Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

    Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga. Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba: Wengi wanapoteza...
  12. Msanii

    Unafiki wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Sakata la kukamatwa mchora vibonzo Optter Fwema limetokea huku kukiwa na kilio cha kukosekana kwa uhuru wa maoni na ukandamizaji haki za raia. Ukiondoa mitandao ya kijamii, hakuna chombo cha habari kilichoratibu mtiririko wa kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe. Na kibaya zaidi kwenye hili sakata la...
  13. data

    Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  14. leonaldo

    Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

    Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
  15. B

    Kuna Uhusiano wa Mahakama na Vyombo vya Habari nchini?

    Naombeni mtusaidie kujua, mahakama na vyombo vya habari Kuna mgogoro au makatazo yoyote? Vyombo vya habari vipo kimya sana kuhusu kinachoendelea mahakamani hasa kwenye kesi kubwa zinazoendelea. Hakuna taarifa na updates si kwenye television Wala radio. Nini kimetokea?
  16. MWALLA

    Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  17. B

    Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

    Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya. Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kipindi chote...
  18. CCM Music

    Taarifa kwa Vyombo vya habari vs Taarifa kwa Umma

    Ipi imekaa ki weledi zaidi? Mie naona 'Taarifa kwa Umma' kwa sababu unatumikia umma na unaitaarifu umma, lkn kusema Taarifa kwa Vyombo vya habari naona ni makosa makubwa sana beyond repair (ni kukosekana weledi katika kufahamu who is your boss and who should you report to). Vipi mtazamo wako...
  19. Emmanuel R. Ntobi

    Uhuru wa Vyombo vya Habari unavyobinywa na Jeshi la Polisi

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga. Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
  20. chizcom

    DCI na IGP maelezo yenu kuhusu Hamza kupitia vyombo vya habari hayaeleweki

    Tuna kumbuka juzi wakati kwenye mazishi ya askari,IGP sirro alipoulizwa kuhusu Hamza. Yeye mwenyewe alijibu “hamza ni muhalifu” mpaka kushushi lawama wazazi na walio karibu na marehemu. DCI ==== Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi...
Back
Top Bottom