Salaam Wakuu,
Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni.
Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa...
NIPASHE JUMAPILI
MAKALA
Vyombo vya habari viwezeshwe kuwatendea haki Watanzania
By Pascal Mayala , Nipashe Jumapili
Published at 07:50 AM Nov 24 2024
NIMEBAHATIKA kuhudhuria mkutano wa wadau wa habari kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Mkutano...
Wanabodi
Niko hapa ukumbi wa JNCC nikikuletea Live Mkutano wa Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, kuihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Karibuni sana.
https://www.youtube.com/live/aZDU3ogL-jo?si=qC7GfiL6B69e_mxS
Paskali
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera
9.Kutekwa kwa Sativa
8. Msigwa kuhamia ccm
7. Makonda kurudi kwenye mfumo
6. Kifo cha mzee Mwinyi
5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo.
4. Kifo cha mzee Kibao
3. DP world kuanza operation Tanzania
2...
Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.
Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda.
Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka...
Wanabodi,
Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024
Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY
2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
Wanaukumbi.
⚡RNN: Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti: "Siku ngumu kaskazini mwa nchi... maroketi yanaruka kama ndege, na tahadhari zinaendelea. Hezbollah inawadhihirishia wafuasi wake kwamba mlingano wa [Sheikh] Naim Qassem bado unatumika: ' Mgomo katika moyo wa Beirut ni sawa na mgomo...
Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa.
Unaweza kumsikiliza zaidi kwenye video hizi mbili:
https://youtu.be/TerskU4goEk?si=9i_DJGdlvFY7l59m...
Nimefuatilia matangazo ya vyombo vyetu vya habari, naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba vyombo vyetu vimeambatana na Waziri Mkuu kisha vikaambatana na RC kadri anavyofika eneo la tukio.
Viongozi wakiondoka na vyombo navyo vinazimwa. Hakuna chombo hadi sasa kilichotoa idadi ya watu ambao...
#7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko#
Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au
hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa
za kulevya, ufuska, maneno machafu, waandishi wa habari
watawasilisha ukweli, maoni, picha na michoro kwa uangalifu...
JamiiForums kwa kushirikiana na Kituo cha Runinga cha StarTV, itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Vyombo vya Habari na Waandishi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024
Mjadala huo utakaoongozwa na Mtangazaji Edwin Odema 'Chief Odemba', utahusisha...
Ndugu zangu waandishi wa habari TZ,
Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo.
Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni...
Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa...
Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili.
Wakati wa kampeni waandishi wa habari wana wajibu wa kutopendelea vyama vya siasa kwa kuegemea kuripoti habari za chama fulani na kuacha...
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa
makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake kuelekea magharibi mwa Iran kwaajili ya maandalizi ya kujibu mashambulio dhidi ya Israeli...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo Msemaji wa Wizara hiyo amesema lengo la kufanya hivyo ni kwasababu picha za viumbe hai zinapingana...
Hii tasnia ya habari kwa sasa ni kama haina maadili kabisa.
Inakuwaje mtu yupo kwenye majonzi unamuhangaisha ili wewe upate views na likes za kukupa fedha?
Mazishi ni ibada ndugu zangu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.