vyombo vya habari

  1. JanguKamaJangu

    Algeria: Bunge lapitisha sheria ya kubana uhuru wa vyombo vya habari

    Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari. Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya...
  2. NetMaster

    Kwanini vyombo vya habari vilimuandama sana Trump kwa kutoripoti mazuri ya uongozi wake lakini vinakaa kimya kwa madhaifu mengi ya Biden?

    Pamoja na madhaifu ya Trump yaliyokuwa yakishindiliwa na hata kuongeza chumvi lakini vyombo vya habari vilikuwa havitipoti mazuri aliyokuwa akiyafanya, hii ilifanya watu wengi sana hasa walio nje ya marekani wanaotegemea kupata habari za marekani kupitia cnn kumuona Trump mbaya. Kuishinikiza...
  3. BigTall

    DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  4. Sauti ya Umma

    SAU yaishauri Serikali kwa kushirikia na vyombo vya habari kuhasisha misaada kwa Uturuki na Syria

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi. Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000...
  5. B

    Mwenezi Mjema akutana na Wamiliki na Wakurugenzi wa vyombo vya habari

    MWENEZI MJEMA AKUTANA NA WAMILIKI NA WAKURUGENZI WA VYOMBO VYA HABARI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Mjema kwa nyakati tofauti jana tarehe 08 Februari, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wamiliki na wakurugenzi wa vyombo...
  6. G-Mdadisi

    Upatikanaji Uhuru wa Habari hainufaishi vyombo vya Habari tu, ni kwa manufaa ya Taifa

    ZANZIBAR WADAU wa habari Zanzibar wamesema ipo haja ya kufanyia marekebisho sheria ambazo zinakinzana na upatikanaji wa habari na uhuru wa vyombo vya habari ili kuchochea uwajibikaji na upatikanaji wa taarifa kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii. Wameeleza kwamba suala la upatikanaji wa...
  7. BARD AI

    Papa Francis avilaumu Vyombo vya Habari kwa kutoongeza ukweli kuhusu kinachotokea DR Congo

    Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani ambaye yuko katika ziara inayomalizika Februari 3, 2023, amesema Ukatili wanaofanyiwa Wananchi kimevuka mpaka na ni lazima kikomeshwe. Kauli hiyo inafuatia Wahanga wa Machafuko ya Kivita wengi wao wakiwa wamekatika viungo vya mwili, kupita mbele ya...
  8. Street Hustler

    Wizara ya Habari na Taasisi mnaosimamia maudhui kwenye vyombo vya habari hasa radio & runinga hamlioni hili?

    Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia. Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
  9. R

    Magazeti na vyombo vingi vya habari vimepotezea habari ya Lissu kurejea nchini

    Nasoma vichwa vya habari nakuangalia TV pamoja na kusikiliza radios; habari za Lissu wamezipotezea. You know what Gona happen wanampa popularity kwa msingi ule ule kwamba ametengwa na muhimili wa nne. Uchaguzi 2020 vyombo vyote vilisusa lakini wananchi awakususa. Mpaka pale tutakapokubali...
  10. Mystery

    Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya...
  11. 666 chata

    Vyombo vya Habari Tanzania ubunifu ni zero kabisa

    Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza. Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
  12. Rufiji dam

    Mashirika ya matangazo ndio yanaua vyombo vya habari

    Tokea kuibuka kwa Radio nyingi binafsi kufunguliwa mlango mwanzoni mwa miaka ya 90s. Kukaibuka na kampuni za kijanja za kutengeneza na kusimamia pamoja na kusambaza matangazo ya biashara nazo zikaibuka. Na upigaji ukawa mkubwa. Shirika ama Wizara zikaingia mkumbo wa kununua matangazo kwenye...
  13. BARD AI

    Mkurugenzi TBC: Uzushi huwachota watu wajinga, wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege hadi ukafunguka wanaamini

    Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha. Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la...
  14. BARD AI

    Wadau washauri Vyombo vya habari viwe na Dawati la Jinsia kukabili rushwa ya ngono

    Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
  15. BARD AI

    Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

    Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7 Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya...
  16. Analogia Malenga

    Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  17. R

    Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  18. Roving Journalist

    Ikulu, Dar: Mrejesho Ziara ya Rais Samia Nchini China na Misri

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (DPC), Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari Ikulu jijini Dares Salaam leo Tarehe 12 Novemba, 2022 ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI CHINA POLE ZA AJALI YA PRECISION AIR Ningependa tu kwa niaba ya Rais kutoa pole kwa wafiwa wote wa ajali ambayo...
  19. voicer

    Sensa 2022: Kwanini Samia hakutangazia Taifa kupitia vyombo vya habari ili kuokoa mapesa yaliyoteketea?

    Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi. Badala Kutumia Mamilioni kama sio mabilioni, eti kisa Sherehe ya kutangaza Matokeo ya Sensa,Ni ubadhirifu mkubwa kwa pesa za...
  20. S

    BoT, toeni matangazo kupitia vyombo vya habari kukumbusha kuwa kufanya biashara ya kukopesha mitaani bila leseni ni kosa la jinai

    Nchi hii kuna sheria ambazo hutungwa halafu huwa zipo tu kwenye makaratasi na mojawapo inaweza kuwa ni Microfinanc ACT ya Mwaka 2018 na kanuni zake. Sheria hii, pamoja na mambo mengine, inapiga marufuku watu kufanya biashara ya kukopesha bila kusajaliwa na kuwa na leseni na inatoa adhabu kali...
Back
Top Bottom