vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    ATC kuzuiwa kutumia anga la nchi za EU, vyombo vya habari vimezibwa mdomo tena?

    Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
  2. Mnyamahodzo

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
  3. snipa

    Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  4. N

    Habari zilizotrend kwa mwaka 2024

    10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera 9.Kutekwa kwa Sativa 8. Msigwa kuhamia ccm 7. Makonda kurudi kwenye mfumo 6. Kifo cha mzee Mwinyi 5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo. 4. Kifo cha mzee Kibao 3. DP world kuanza operation Tanzania 2...
  5. Rozela

    Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  6. chiembe

    Kila Wizara/Idara iandae documentary ya mambo inayoshughulikia tangu uhuru, kisha iwasilishwe kwa vyombo vyote vya habari

    Naona kama hakuna makala sheheni ambazo zitaelezea hali ya nchi tangu uhuru zilizoandaliwa na kila Wizara/Idara ili kutanua wigo wa ufahamu wa jamii ya sasa. Hata kama zipo, basi kuna taasisi (hasa TBC na Idara ya Habari Maelezo) wamezihodhi, na hawataki jamii izifikie. Kama nchi tunahitaji...
  7. T

    Ajali ya Basi la Wabunge Ilivyoibua Changamoto za Uandishi Sahihi wa Habari Katika Vyombo Vyetu

    Leo, Disemba 6, 2024, basi lililokuwa limebeba wabunge waliokuwa wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali katika eneo la Mbande, Kongwa, mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa Polisi mkoani Dodoma, ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi kujaribu...
  8. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi latoa Elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa Watumiaji vyombo vya majini

    Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa ni pamoja elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu. Akiongea wakati wa utoaji elimu hiyo...
  9. Pascal Mayalla

    Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  10. J

    Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

    ..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya...
  11. Poppy Hatonn

    Wajibu wa vyombo vya Ulinzi na usalama

    Msako mkali wa polisi dhidi ya vijana 520 wa Tanzania Bara wa kambi ya upinzani kati ya tarehe 9 na 12 Agosti 2024, hii ikiwa ni mkakati wa kuwazuia kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Vijana, kama walivyotaka, kwa madai kuwa polisi walikuwa wanazuia. Tishio la wazi, lililopo na lililo karibu...
  12. chiembe

    Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

    Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa. Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
  13. B

    Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  14. chiembe

    Inawezekana mume wa zamani wa Diva anampiga vyombo ndio maana mambo yanamuandama?

    Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala SegereMatata? Ukiangalia insta page yake, na hata watumishi wenzake, ni kama jamii inampigia yowe...
  15. R

    Vyombo vya habari tumeachana na Msiba wa Kariakoo tunaposti habari za Mkuu wa Mkoa; utu umezimwa na pesa

    Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake. Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari. Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila...
  16. econonist

    Vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana

    Naomba nishauri ya kwamba vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana na sio kwenye mambo ya kijinga. Kwa muda mrefu vyombo vya Dola vimewekeza akili na vifaa kwenye kupambana na vyama pinzani. Kuteka, kuua na kunyanyasa wapinzani. Ila akili ya kupambana na maafa ni zero. Tuliona kwenye...
  17. jingalao

    Baadhi ya Vyombo vya habari vinakiuka maadili!!

    #7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko# Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa za kulevya, ufuska, maneno machafu, waandishi wa habari watawasilisha ukweli, maoni, picha na michoro kwa uangalifu...
  18. V

    Isamilo Kampuni ya mabasi ya usafirija ni jipu na kero kwa Abiria yalinikuta Dodoma

    Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
  19. M

    Vyombo vya habari vijifunze kutokuwa na upendeleo: ona sasa walimdanganya Kamala H

    Ndugu zangu waandishi wa habari TZ, Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo. Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni...
  20. M

    KERO Barabara za Pemba ni nyembamba, vyombo vya usafiri vimeongezeka, imekuwa kero na hatari pia

    Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha kati ya 10 ambao walikuwa vibarua waliokuwa wamebebwa ndani ya Fuso hilo, wengine wakipata majeraha...
Back
Top Bottom