vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Hatimaye vyombo vya habari vya Magharibi vimeanza kuzungumia maabara ya virusi ya Fort Detrick ya Marekani

    Katika muda wa miezi michache iliyopita, ukitafuta maneno “Fort Detrick” kwa kutumia Google, hakuna chochote cha maana kilichoonekana, na hata baadhi ya watu katika nchi za magharibi, hasa Marekani kwenyewe wengi walikuwa hawajui kama Marekani ilikuwa na maabara ya virusi inayoitwa Fort Detrick...
  2. T

    Vyombo vya habari vya Marekani na Ulaya ni wanafiki sana

    Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa...
  3. Mparee2

    Barabara ya njia nne Arusha Inufaishe waendesha vyombo vya moto pia

    Kwa wale wageni Arusha, Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi. Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
  4. Shujaa Mwendazake

    Minong'ono ya Mbowe kuhusishwa na kushambuliwa kwa Lissu ni mingi, isipuuzwe na Vyombo vya Usalama

    Hili suala na wao wanalijadili kumbe: Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya kumkamata walisema anatuhumiwa pia kwa "Attempts" ama kwa tuhuma za mauaji ya Viongozi. Yawezekana Jeshi...
  5. Shujaa Mwendazake

    Tuhuma za ugaidi wa Mbowe "una-doubt" umakini wa Vyombo vya Usalama vya awamu iliyopita

    Nikiitazama hii picha, Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata tabu sana kufikiri walikuwa hatarini kiasi gani IKIWA Freeman Mbowe alikuwa ni Gaidi kweli. Walinzi...
  6. Prof Koboko

    Kwenye hili la Mbowe, vyombo vya Dola mmeitwisha zigo Serikali. Hivi hamjui nini?

    Bado tunalia sana na weledi wa vyombo vyetu vya Dola hasa jeshi la polisi na TIS. Tunajua kua lengo kuu la kumsumbua Freeman Mbowe si kesi ya Ugaidi wala uhujumu uchumi, lengo kuu ni kuzima Mjadala wa katiba Mpya. Kwenye hili weledi umekosekana na mmeitwisha serikali mzigo utakaoisumbua sana na...
  7. Shujaa Mwendazake

    Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    "Mohammed akamuita askari, ambaye sijui ni mlinzi wake Mungu anajua sitaki nimuingize katika mtihani.Akamuambia tuonyeshe Hajji namna gani anahujumu.Yule bwana akatoa simu yake akawa anaonyesha limeandikwa jina langu pale Saa tatu usiku ulisomeka mnara wa posta, saa tano ulisomeka mnara wa...
  8. N'yadikwa

    Kwanini vyombo vya habari kama Televisheni na Redio za Tanzania havina habari za biashara

    Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
  9. Analogia Malenga

    Programu ya Israel ya ‘Pegasus’ yatumika kuwafuatilia waandishi wa vyombo 15

    Mamlaka zimelalamikiwa kuitumia vibaya ‘malware’ ya Israel ya Pegasus ambayo imetumika kufuatilia waandishi wa Habari na wanaharakati Software hiyo inatengenezwa na kampuni ya ulinzi ya Israel ya NSO ambayo inauwezo wa kudukua simu janja na kuchukua kila kitu kwenye simu Baadhi ya waandishi...
  10. Erythrocyte

    Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  11. K

    Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  12. E

    Tutumie electric bike na electric car sio vyombo vya moto

    Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni kama unaendesha baiskeli au guta au mkokoteni wa ngombe, pia hamna kuingia sheli kunywa mafuta ukifika...
  13. ndege JOHN

    Msiotaka kuoa bado mnaosha vyombo na kudeki

    Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli mtu mzima Kama wewe unakundula kudeki na kuosha masufuria...acheni zenu hizo ebu oeni huko Tena oeni...
Back
Top Bottom