Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari kupambana na vikosi vya Tigray kama wataitaitajika kufanya hivyo kulitetea taifa hilo.
Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo.
NB: Bei ya kawaida
Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini.
Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao.
Sasa...
Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru
Na. Paschal Dotto-MAELEZO
Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na kufanya kazi na vyombo vya habari katika kutangaza mambo...
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Wengi wanapoteza...
Binafsi naona kasi ikipungua kwa Kasi ya hali juu kwa mashauri ambayo kimsingi mashauri yake yapo wazi kabisa tena hayana complications za aina yoyote ikimaanisha pande mbili ambazo zinashindana katika mgogoro kutoona umuhimu wa kuendelea na shauri usika na kuona wayamalize kinyumbani hapa Huwa...
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA)
=====
October 8, 2021 by Global Publishers
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari...
1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!?
2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani?
Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani?
Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
Naombeni mtusaidie kujua, mahakama na vyombo vya habari Kuna mgogoro au makatazo yoyote?
Vyombo vya habari vipo kimya sana kuhusu kinachoendelea mahakamani hasa kwenye kesi kubwa zinazoendelea. Hakuna taarifa na updates si kwenye television Wala radio.
Nini kimetokea?
UTANGULIZI
Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama.
JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake.
Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza.
Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
Kama umepata nafasi ya kuzaliwa , kusoma au kuishi katika mkoa wa Dar es Salaam, utakubaliana na Mimi ya kwamba wanafunzi hupata wakati mgumu Sana wakiwa wanaenda mashuleni siku za wiki hasa hasa kwenye magari ambayo yaanaelekea safari za Kariakoo,mnazi mmoja na Muhimbili.
Shule nyingi hapa...
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.
Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
Ipi imekaa ki weledi zaidi?
Mie naona 'Taarifa kwa Umma' kwa sababu unatumikia umma na unaitaarifu umma, lkn kusema Taarifa kwa Vyombo vya habari naona ni makosa makubwa sana beyond repair (ni kukosekana weledi katika kufahamu who is your boss and who should you report to).
Vipi mtazamo wako...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga.
Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE
RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili August 29,2021 ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi akiwemo IGP na...
Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.