Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki.
Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan.
Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua...
Mimi ni mwanafunzi kutoka Ujerumani naandika tasnifu yangu kuu kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania nikizingatia sera ya vyombo vya habari wakati wa Rais Magufuli. Lengo langu ni kufahamu maoni na mjadala kuhusu mada hiyo kwenye JamiiForums.
Umma wa kidijitali unafikiriaje kuhusu...
Habari wana jamvi.
Samahani wanajamvi, ninawazo la kutaka kufanya biashara ya kufungua duka la vyombo vya ndani. Kama kuna anaejua sehemu vinakopatikana kwa bei ya jumla jumla lakini kwa bei nzuri naomba anisaidie.
Niko Mbeya Mkoa mpya wa Songwe.
Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo.
Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.
Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine...
Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.
Stay tuned.
Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
Andiko hili na walione wahusika.
Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani.
Si wa kupuuzwa tena!
Amewekeza sana kwenye...
Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
1. TAWAQAL EXPRESS
Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea.
Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI.
Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
Habarini wakuu,
Naombeni msaada kujibiwa swali hili
Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali.
Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua...
..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali.
..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini.
Cc amanibaraka
Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne, Desemba 7, 2021 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju wakati...
Atafutiwe kazi laini za kufanya zitakazompa riziki, labda akifungwa sana, afungwe miezi miwili, akitoka jela apewe kazi
Hii ni Manslaughter case na Attempted suicide, lakini kwa kesi hii daah, scenario inasikitisha sana, kwa watu tuliowahi pitia umaskini na kushinda njaa plus michongo yote...
Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6.
Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.