CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI
Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022.
Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
Habari wadau!
Ushauri wangu kuna watu wanaweza kuupuuza! Lakini itakuwa na maana tukijadili humu kwa pamoja!
Hakuna aliyesalama hata ukijihesabia haki kwa utajili/cheo na Mali ulizo Nazo.
Huko barabarani hata viongozi hupatwa ajali, hata matajili hupatwa ajali, wachungaji hupatwa ajali n.k...
Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake.
Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali.
Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.
Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.
Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI.
Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atatembelea katika Vyombo vya Habari mbalimbali kwa Kuanzia TBC, Raia Mwema na Mwanahalisi Online...
Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli.
Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake!
Utulivu...
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour.
Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza Serengeti, Kilimanjaro na Dar es Salaam na muwekezaji huyo ameshawasiliana na kituo cha uwekezaji...
Habari za leo wadau!
Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu.
Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini.
Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo.
Natanguliza shukurani.
Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana.
Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana.
Vitu vyote...
Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii
Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
Inakera sana kusikia chombo rasmi cha habari, kilichoaminiwa na serikali mpaka kupata leseni kushiriki kueneza upuuzi kwa lengo tu la kupata Wasikilizaji au Wafuatiliaji.
Tunaweza kuchukulia mambo kirahisi lakini amini amini nawaambia madhara yake yanaitafuna jamii taratibu na tutadhalilika...
Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
Habari ndugu,
kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka).
Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia.
Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.