Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?
Iwe kwenye mataa, taa ya rangi ya RED imewashwa bodaboda unawaona wanapita
Iwe kwenye pundamilia magari mengine yamesimama watu wapite bodaboda unawaona wanapita unaogopa kuvuka barabara hata kama magari...
Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,.
Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na...
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo.
Akizungumza na...
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi.
“Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao.
Huu ni utaratibu mzuri, Serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar...
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
Wakuu habari za uzima?
Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki.
Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy.
Nilijaribu kufatilia moja maeneo ya shabaan Robert ada kidogo juu.
Mwenye ufahamu wa hili anijuze
Karibuni.
Wakuu,
Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
Wakuu kwema?
Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.
Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote.
Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi!
Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi.
2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko...
Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za demokrasia. Rais Samia ameonyesha nia ya kuimarisha mazingira ambayo vyombo vya habari vinaweza kufanya kazi kwa uhuru zaidi. Hii ni hatua kuelekea kukuza uwazi na uwajibikaji.
===
Mambo makuu...
Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi.
Bado tusingejua nini maana ya...
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.
Wenye nguvu ndani...
Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
askari
habari
hanang
iron
kufa
kutoka
kutokana
lady
maelfu
mafuriko
magogo
maria salungi
misaada
miti
mlima
mto
paa
picha
saikolojia
silaha
tanzania
tatizo
tukio
ushauri
vyombovyombo vya habari
watanzania
Nadhani muda umefika tufikishane kwenye vyombo vya sheria.
Hii migao ya umeme haijaanza leo. Hili tatizo lipo kila mwaka na sababu zinazotolewaga ni zile zile. Kusudio langu halihusu kuhoji uhalali wa mgao bali taratibu zinazotumika kuendesha mgao wenyewe.
Hatua hii itajikita kuwahoji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.