vyoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti. Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu Nabwike Mbaba amesema ushahidi ambao umetolewa kwenye kesi hiyo umetosha kumtia hatiani mshtakiwa...
  2. Anayetuhumiwa kumlawiti mtoto katika Vyoo vya Kanisa - Sinza, asema “Sina lolote, naiachia Mahakama”

    Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa, jana Machi 3, 2024 shauri hilo limetajwa, ambapo alipopewa nafasi ya utetezi amesema hana lolote la...
  3. Miundombinu ya Shule ya Msingi Kamama yaboreshwa, Vyoo na madarasa vyajengwa

    Hali ilivyo sasa Hali ilivyokuwa Miundombinu ya Shule ya Msingi Kamama ikiwemo Vyoo na Madarasa imefanyiwa maboresho ikiwa ni miezi kadhaa yangu kuripotiwa kuwa imechakaa na inahatarisha usalama wa afya wa Wanafunzi na wahusika wengine. Inadaiwa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui imechukua hatua...
  4. Anayetuhumiwa kulawiti Mtoto kwenye Vyoo vya Kanisa ashindwa kutoa Ushahidi, adai anaumwa, kesi yaahirishwa hadi Machi 3, 2025

    Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa maelezo kuwa anaumwa. Kesi hiyo ambayo ina kipindi cha mwaka mzima tangu ilipoanza kusikilizwa...
  5. Pre GE2025 DC Bomboko aagiza kuondolewa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi shule ya Sekondari Saashisha sababu mradi kusuasua

    Mkuu wa wilaya ya Hai, Hassan Bomboko ameagiza kuondolewa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Mabweni, Vyoo na Nyumba ya mwalimu katika shule ya Sekondari Saashisha kwa kile kinachotajwa kushindwa kutekeleza mradi huo unaotajwa kufikia asilimia 75. Mradi huo wenye thamani ya kiasi...
  6. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  7. KERO Mbagala Dar es Salaam: Vyoo vya Stand ya Mabasi na daladala Mbagala rangi tatu ni vichafu sana

    1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha. 3️⃣...
  8. VYOO VISIVYOJAA

    Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787! FAIDA YA HIZI SHIMO 1. Kama utajenga kwa kufata ushauri wa fundi amini halitajaa kamwe! 2. Hutumia eneo dogo sana ulinganisha na mashimo ya kizamani...
  9. UJENZI WA VYOO VISIVYOJAA

    Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787! FAIDA YA HIZI SHIMO 1. Kama utajenga kwa kufata ushauri wa fundi amini halitajaa kamwe! 2. Hutumia eneo dogo sana ulinganisha na mashimo ya kizamani...
  10. KERO Vyoo vya Stendi Kuu ya mabasi Bweri ni vichafu na vinatisha

    Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja na changamoto hizi, mamlaka husika zimeendelea kukusanya mapato bila kuchukua hatua yoyote ya...
  11. Mwaka 2025 uwe mwaka wa kuuthamini Uafrika wa mtu mweusi

    Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni na dhalili na vituko mbele ya jamii nyingine zilizoendelea. Mwaka 2025 uwe ni mwaka wa kujikubali...
  12. KERO Huduma mbovu ya vyoo coco beach

    Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti itolewayo kwa huduma.
  13. D

    Bar za bagamoyo hazina vyoo

    Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo osha ingekuw private sector. Ndo mana hata jpm alikosea sana ATC na TTCL kuzifanya ziwe monopoly na...
  14. Serikali yaanza maboresho ya Vyoo vya Kituo cha Afya cha Sokoine, Manispaa ya Singida

    Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira mazuri. Uamuzi huo unakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu ubora wa choo...
  15. M

     Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

    Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali. Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi...
  16. M

    DOKEZO Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
  17. Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

    Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa...
  18. M

    KERO Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

    Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani? Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
  19. Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  20. M

    Je, hii video ni ya lini?

    Katika pita pita zangu kwenye magroup ya whatsapp nimekutana na hii clip ikizungumzia hali ya vyoo eneo maarufu kama mafuvu eneo la hifadhi ya Ngorongoro barabara ya kuelekea serengeti, Naomba kujua uhalisia wake, video ni ya lini na hali ipoje
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…