Poleni na Tozo mbali mbali ma bibi na mabwana.
Katika harakati za kila siku, unaweza jikuta upo katika ofisi, Eneo la Kazi ,au Eneo la biashara fulani. Basi ukajikuta umebanwa na haja either ndogo au kubwa na ukaomba uende maliwatoni. Ghafla baada ya kufika OFISI KUU hio ukakuta hadhi ya jina...
Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni.
Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika niliOingia nao maeneo ya kuondoka stress na kupapasana.
Kama hivi ndivyo walivyo wote naaapa Ile...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
Wanafunzi katika Shule ya Msingi Kasaba, Kata ya Kidahwe, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia msituni kufuatia shule hiyo kutokuwa na huduma ya vyoo tangu mwaka 2020 baada ya kutitia.
Wakielezea adha hiyo wanafunzi wamesema kwanza...
Baada ya kujenga madarasa 15,000 na kuwezesha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza, Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaelekeza nguvu kwenye ajira za walimu na mtundu ya vyoo. Azma ni kuimarisha ubora wa elimu kwa manufaa ya wananchi na Taifa. #MamaYukoKazini
Nafikiri watu wengi huchanganya choo na bafu kwasababu ya bajeti.
Lakini huyu kweli alikuwa na shida ya budget?
Ni mafundi mmekremisha? Ukosefu wa ubunifu? Au wenye nyumba wenyewe wanapenda hivi? Me nimecheka Kweli, nafikiri ni fundi maiko kafanya yake.
Hakuna kitu nachukia kama chooni...
Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi?
Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za...
Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza.
Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao.
Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni.
Sielewi ni kwa nini...
OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital gest nk,
Sifa za mfumo huu ni
1 halijai
2 halitoi harufu
3 huchukua eneo dogo
Halijai kabisa wakati...
Hii pengine inafanyika hata Tanzania sema sijswahi kuiona, nikiiona nitaisema
Hii ni aibu wakuu, hii sio miradi ya kufadhiliwa na wazungu, tutazidi kudharaulika
Mradi kama huu wananchi wanachangishwa tu fedha kidogo na unajengwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.