vyoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  2. Jaji Mfawidhi

    Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

    Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote. Naomba sasa Naibu Waziri...
  3. R

    DOKEZO Vyoo kama hivi kwenye Mabasi ya Luxury ni kinyaa na hujuma kubwa

    Wakuu, Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
  4. M

    Changamoto za Shule ya msingi Kigarama iliyopo Kata ya Igurwa, Karagwe Mkoani Kagera

    Shule ya msingi Kigarama iliyopo katika Kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera ni miongoni mwa shule kongwe wilayani Karagwe. Shule hii kwa sasa inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo upungufu wa madarasa pamoja na shida vya matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi. Mwaka jana 2022...
  5. African Geek

    Wataalamu, Hiki choo mtakitumiaje? Mimi nimechemka

    Nimetembelea hospitali moja yenye jina kubwa tu hapa mjini Dar es salaam, Nilichokiona kimenishangaza sana. Jinsi hiki choo chao kilivyowekwa kila kitu sehemu moja na mlango wa choo ni mmoja, yaani kama mkiingia wawili basi mnaonana.
  6. mjandwasafi

    SoC03 Ukosefu wa vyoo wezeshi: Kizuizi kwa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu

    Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto hujitokeza linapokuja suala la vyoo kwa Wanafunzi wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu. Suala...
  7. Roving Journalist

    Mdau huduma ya vyoo vya Wanawake SabaSaba ya Dar ni mbaya, vyoo ni vichafu

    Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua... Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
  8. Kulupango

    SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
  9. M

    Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  10. Chachu Ombara

    Adhabu kali ziwekwe kwa wanaotapisha vyoo kipindi cha mvua

    Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha. Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
  11. Mamujay

    Najenga mashimo ya vyoo vya kisasa visivyo jaa miaka yote

    Wajenzi wa vyoo vya kisasa visivyo jaa kabisa .Sifa za mashimo yetu .Hayajai .Hayatoi harufu kabisa .Huondoa kero ya kunyonya maji taka mara kwa mara . Huondoa gharama za kunyonya maji taka .Huchukua eneo dogo sana ya nafasi katika eneo lako .Call us .0743257669 Kwa milioni 1 tu...
  12. JanguKamaJangu

    Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  13. Nigrastratatract nerve

    Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

    Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao. Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
  14. JanguKamaJangu

    Makusanyo Soko la Sinza Makaburini yanaenda wapi? Hakuna vyoo wala sehemu za kutupa taka

    Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka. Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
  15. B

    Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
  16. Roving Journalist

    Kagera, Ngara: Shule ya Keza yataka kufungwa kwa kukosa vyoo. Ilijengwa 1945

    Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia. Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro, ametoa Mil 3 kutengeneza vyoo vya dharura ili Shule isifungwe. Ruhoro amesema shule ni ya miaka mingi...
  17. Mpekuzi Tanzania

    Heko Galaxy ya Igunga: Vyoo vyenu kwenye Kituo cha mafuta ni mfano wa kuigwa

    Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
  18. NetMaster

    Vyoo vya kuchuchumaa ni bora kuliko vyoo vya kukalia

    NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia. Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa.. 1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi la asili kwajili ya kutoa haja kwa ufanisi wa hali ya juu, njia ya haja linafunguka zaidi pale...
  19. M

    Waziri Mwigulu wagawie fedha za tozo Walimu Hassanal Damji Bagamoyo wajenge choo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa. Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
  20. Sozo_

    Magari ya taka yavute vyoo usiku na sio mchana

    Wadau hii imekuwa kero, mtu umekaa mahali unapata chakula unasikia harufu mbaya na kuanza kuhisi kuna mtu amepumua. Baadaye unagundua ni gari linavuta choo kwa jirani. Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu...
Back
Top Bottom