UTANGUZILI.
Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na kuonekana na thamani sana kwa vijana na sasa tuko katika kipindi ambacho vyuo vikuu vimekuwa bora na...
UTANGULIZI
Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka.
Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake.
Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu.
UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII
Uadilifu...
Salaam wanajukwaa,
Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo.
Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo.
Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe.
Sheria ina Uamuzi mkubwa...
Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha.
Mmoja wa wanafunzi...
Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani.
Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao.
Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza?
Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali.
Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna
Udsm chuo cha...
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa.
Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga akiwa katika Stendi ya Mabasi Kabwe Jijini Mbeya, amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kimkoa kwa kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto, magari, pikipiki na bajaji pamoja na kubandika Stika za nenda kwa usalama barabarani.
Akizindua...
Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali.
Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
Habali wakuu?
Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea.
Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
Mwenye kujua vyuo vya NACTE vitamaliza muhula wa pili mwezi gani ie semester 2 inafungwa lini?
Zamani kulikuwa na ratiba ya masomo, sasa ni vurugu tupu!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi.
Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. .
Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri.
Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe.
Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.
Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania!
Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa!
Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.