Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania.
Mfano...
Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe Mishe).
Kwa Upande wangu naweza sema, Changamoto ya Ajira wanayo ishuhudia ndio inawakosesha nguvu ya...
Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza?
Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa
Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
Habari wadau.
Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india.
Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT
Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india.
Je na wapo...
Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika.
Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
Hoja:
Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.
Nataka nipambane nikasome majuu.
Salaam,
Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa.
Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu.
Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
jamani nimepotea njia. Najaribu kuomba vyuo vya afya NACTE. Sioni vyuo vya afya vya serikali, say Lugalo, Kibaha etc. Kuna nini? Utaratibu kwa sasa ukoje?
Wakuu habari za jioni.
Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo.
Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI.
Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini...
Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza;
1. Kama vyuo vikuu vitachukua wanafunzi kulingana na uwezo wake kama miaka ya nyuma ni dhahili kuwa...
Ajira ni kazi au shughuli ambayo mtu anafanya kila siku na kujipatia kipato kwa ajili ya kujikimu na kufanya maendeleo binafsi na nchi kwa ujumla. Mazingira wezeshi ya upatikanaji wa elimu (elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari), elimu ya kati vyuo vya kati na elimu ya juu (serikali...
Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities..
Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi ya 3 na Ardhi University nafasi ya 10.
UDSM imeshika nafasi ya 21 kati ya vyuo 25 huku Udom...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.