vyuo

  1. B

    SoC03 Vyuo vya ufundi na VETA ndio mkombozi wa vijana Tanzania

    UTANGUZILI. Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na kuonekana na thamani sana kwa vijana na sasa tuko katika kipindi ambacho vyuo vikuu vimekuwa bora na...
  2. F

    SoC03 Somo la uadilifu na Utawala Bora lianzishwe na liwe somo la lazima kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Taasisi za Dini, na Familia zihusike pia

    UTANGULIZI Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka. Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake. Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu. UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII Uadilifu...
  3. Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) ukiacha UDSM vyuo vingine zimamoto. Kwako Waziri wa Elimu Prof. Mkenda

    Salaam wanajukwaa, Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo. Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
  4. R

    Hili la Law School ni la kupongezwa; una haja ya kuli-apply upande wa Vyuo vya Afya, tuna products za kiwango cha chini sana siku hizi

    Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo. Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe. Sheria ina Uamuzi mkubwa...
  5. Kabla ya kuilaumu Law School, watanzania wanajua kwamba baadhi ya wanafunzi vyuo binafsi huwaandalia" fungu" waalimu ili wafaulu?

    Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha. Mmoja wa wanafunzi...
  6. Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  7. W

    Sasa hizi selection za kidato cha tano (form five) na vyuo zitatoka mwezi wa sita au?

    Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao. Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
  8. Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
  9. Vyuo vinavyofundisha software engineering Tanzania

    Naombeni mnitajie list ya vyuo vinavyofundisha software engineering kwa hapa Tanzania na pia naombeni ushauri kuhusu hii programme.
  10. Haja ya Ripoti ya CAG kuchunguza Mitaala ya Kozi za Vyuo vya Tanzania

    Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
  11. Mbeya: Polisi waandaa mafunzo maalum kwa madereva wenye leseni lakini hawakupita vyuo vya udereva na wasio na leseni

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga akiwa katika Stendi ya Mabasi Kabwe Jijini Mbeya, amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kimkoa kwa kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto, magari, pikipiki na bajaji pamoja na kubandika Stika za nenda kwa usalama barabarani. Akizindua...
  12. HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
  13. Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

    Habali wakuu? Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea. Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
  14. Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  15. R

    Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

    Mwenye kujua vyuo vya NACTE vitamaliza muhula wa pili mwezi gani ie semester 2 inafungwa lini? Zamani kulikuwa na ratiba ya masomo, sasa ni vurugu tupu!
  16. Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  17. R

    Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
  18. S

    Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

    Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri. Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe. Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
  19. F

    Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Habari wadau. Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu. Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc. Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto. Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
  20. D

    Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…