vyuo

  1. Teknocrat

    Vyuo Vikuu vya Nchi za Afrika

    University of Zambia
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  3. HEKIMA itawale

    Miongozo dhaifu imeathiri udahili wa wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma Vyuo Vikuu vya Tanzania

    Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania. Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
  4. Ferruccio Lamborghini

    Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  5. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Kila Mwanafunzi kutumia Komputa yake katika Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
  6. robinson crusoe

    Waziri wa Elimu simamia utawala katika vyuo. Wanafunzi wanaumizwa na elimu inaanguka!

    VETA, NACTE na TCU ni vyombo ndani ya wizara hii. Kulikuwa na malalamiko na matukio ya wanafunzi kunyanyaswa kingono. UDOM na Uhasibu Arusha vimekuwa ni mfano wa wazi. Hata hivyo hatujasikia Wizara ikisema lolote juu ya matukio kama hayo pamoja na jamii kuyasikia tena na tena! Nimefanya...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Hapa sampuli za maji ya mto Mara zipelekwe baadhi TBS, GCLA, NEMC, SGS, Intertek na zingine kwenye maabara za vyuo zikapimwe upya

    Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
  8. Rebeca 83

    Ni muda muafaka tuwe na vyuo kila mkoa

    Hello wanajamii. Kunususru janga la ajira kwa vijana. Ni kuwa na vyuo kila mkoa/mji. Vyuo hivi vijengwe kutoa elimu ambayo sio general, bali specific kutokana na rasilimali zilizopo/zinazopatikana kwa wingi kwa sehemu husika. Kwa mfano, labda Mwanza kunapatikana samaki,vyuo vya uvuvi na...
  9. Binadamu Mtakatifu

    Nisaidieni vyuo vinavyofundisha computer science na requirements zake

    Nisaidieni kwa hilo Maana nataka nijiunge nisaidieni kuorodhesha kadri mtakavyo weza Vyuo vya Computer Science Ahsante
  10. and 300

    Vyuo Vikuu Ukraine haviridhishi kitaaluma

    Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings! Hivyo chukueni tahadhari. **USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine. NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.
  11. Analogia Malenga

    Namibia: Wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine watakiwa kujiunga na vyuo vya nchini kwao

    Wanafunzi 23 wamefanikiwa kurejeshwa #Namibia kutoka #Ukraine. Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi hao kujiunga na vyuo vya nchini kwao ili kuendelea na masomo. CNN imeripoti wanafunzi takribani 13,000 wa Ghana, Somalia na Nigeria ambao wamekwama mjini Sumy na hawana chakula wala fedha kwa kuwa...
  12. luangalila

    Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

    Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
  13. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA)

    Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo. Kauli hiyo imetolewa Januari,15 2022 jijini Arusha na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika...
  14. Rebeca 83

    USHAURI: Kuwe na vyuo vya kati vingi na vyuo vikuu vichache

    Hello Jf Leo nimewaza kwa nini tusiwe na vyuo vya kati vingi,na vyuo vikuu vichache? Sio sasa hivi vyuo yenye hadhi ya chuo kikuu ni vingi na vinatoa incompetent candidates,heshima ya degree imeshuka sana, Mimi naona vyuo vyenye hadhi ya chuo kikuu viwe vichache,hii italeta big competition...
  15. F

    Mbona wanafunzi wa vyuo hawapewi mikopo inayotosheleza?

    Serikali imesema wanafunzi wanalipwa mikopo lakini mbona hiyo mikopo inalipwa robo tu hadi nusu? Kama unamlipa mwanafunzi mkopo ambao ataurejesha, kwanini umpe mkopo ambao haumtoshelezi? Mbona tunajisifia kuwa tunakusanya kodi kubwa kila mwezi lakini wakati wa kulipa ni matanga? Hata...
  16. Keynez

    UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  17. M

    Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

    Mzuka wanajamvi! Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins? Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD. Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.
  18. chief kamchicha

    Serikali ipeleke madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu

    Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri. Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
  19. guojr

    Wazazi na Serikali tuangalie maadili ya watoto wetu Vyuo vya Kati

    Kama wazazi au walezi tunapenda watoto wetu wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao. Ila kuna hili jambo la wazazi na walezi kupeleka watoto wao kusoma kwenye hivi vyuo vya kati hasa hivi vinavyotambulika kama vyuo vya mipango ambavyo vipo mikoa mbalimbali. Watoto hawa wengine wakiwa chini ya...
  20. F

    Upungufu wa Wahadhiri Vyuo vya Elimu ya Juu

    Taarifa kwamba taasisi za kitaaluma za elimu ya juu zinakabiliwa na upungufu wa Wahadhiri inastua sana na kuhitaji ufumbuzi kwa kasi ya mwendo wa mwanga. Binafsi nafikiri tatizo hili limesababishwa na uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kutumia rasilimaliwatu hawa kwa kuwaondoa vyuoni na...
Back
Top Bottom