vyuo

  1. R

    Vyuo vyetu vya Kilimo ni kupoteza muda tu, there is no learning taking place with regard to Kilimo na ufugaji

    Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma. Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea...
  2. MK254

    Kenya, Uganda, Afrika Kusini, na Nigeria ndio mataifa yenye vyuo vilivyo kwenye kumi bora Afrika

    Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja. Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800 Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
  3. Isaack Newton

    Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

    Habari wakuu! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm. Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti...
  4. N

    Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

    Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China. I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
  5. M

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  6. ubongokid

    Vyuo vyetu vinazalisha wataalamu ambao hawatahitajika

    Habari, Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu. Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini...
  7. R

    Selection za kujiunga na vyuo zinatumia programme gani? au huwa ni manually done?

    Siku nyyingi najiuliza selection za vyuo zinatumia programme gani. Si rahisi kuzifanya manualy kuwa mtu anaangali nani kapata nini, anawalinganisha then anapata mwenye sifa ja juu. Mfano: Mtu wa Medicine anatakiwa awe na minimum point 6, lakini lazima awe na C kwenye chemistry. Programme gani...
  8. R

    NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

    Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
  9. B

    Tanzania ianzishe vyuo vya wanawake tu ili kupunguza mimba kwa wanafunzi

    Watoto sasa wanamaliza kidato cha 4 na kidato cha 5 wakiwa na umri mdogo ni vyema serikali ikaanzisha vyuo vya wanawake hapa nchini. Hii itapunguza mimba za utotoni kuna wakati vyuo mimba zina zidi dah
  10. K

    Je, kutakuwa na awamu nyingine kuomba vyuo?

    Wakuu ndugu yangu kachelewa kuomba chuo hivyo nauliza kutakuwa na awamu nyingine baada ya kufungwa 05/08/2020 kufungwa? Asante
  11. skilled masala

    SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  12. Cannabis

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde aagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule kupunguza uovu

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama kuchoma Shule “Atake asitake, ahudhurie hata kama hafanyii Mtihani”
  13. K

    Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
  14. B

    Ushauri: Somo la Ujasiriamali liongezwe katika Mitaala ya viwango vyote vya Elimu

    Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu mafunzo mbalimbali waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo bila kutegemea ajira kama...
  15. D

    Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

    Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
  16. Jacobus

    Maombi vyuo vikuu mwaka huu vipi?

    Wakuu, mie nina kijana aliyemaliza kidato cha sita na sasa yupo JKT kwa mujibu wa sheria. Nimepata taarifa kuwa mwaka huu vijana hawaruhusiwi kurejea nyumbani kipindi cha kutuma maombi ya kujiunga na vyuo kwa mujibu wa TCU {Tanzania Commission for Universities} badala yake eti patakuwa na mtu...
  17. V

    SoC01 Ulaghai unaofanywa na baadhi ya vyuo nchini, chukua tahadhari na usitapeliwe

    Vaa viatu vya mzazi/mlezi aliyejibana ili kijana wake apate elimu zaidi huku akiamini kabisa kuwa elimu ni daraja kuelekea mafaniko. Au mfikirie kijana aliyeamua kwa dhati kusoma kwa bidii ili tu kutimiza ndoto yake kupitia elimu. Bahati mbaya sana mwisho wa haya unakuja kuambiwa kuwa kile...
  18. M37

    SoC01 Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na vijana wawaze kujiajiri na sio kuajiriwa

    WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NA VIJANA TUWAZE KUJIAJIRI KULIKO KUAJIRIWA. Habari za wakati huu Watanzania wenzangu. Leo nimeamua kuja kuandika chapisho hili ili kuweza kuwafungua akili wanafunzi wengi wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu wa vyuo ambao hawana ajira waliopo mtaani wanaosubiri ajira...
  19. Mirr

    SoC01 Ushauri kwa wahitimu wa vyuo na wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali nchini

    Ndugu wana jukwaa amani iwe juu yenu! Hakika kama tujuavyo elimu imekuwa chanzo cha maarifa tangu kuanza kwa historia ya mwanadamu lakini pia katika baadhi ya vitabu vya imani vimeandika "MKAISHIKE ELIMU" kwa maana msisitizo nikwamba elimu yenye tija na malengo ina manufaa kwa jamii na...
  20. Tango73

    Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

    Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
Back
Top Bottom