MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA
Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo:
Vyuo:
1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE?
Matokeo:
2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit?
3. Pass inaanzia pointi...
Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi.
Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi za Afrika hususan Makerere Uganda, Kenyata Kenya, Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri, Botswana.
Hizi...
Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara.
Vyuo hivi hapa
CHUO - SEHEMU
MUST - Iyunga
MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT - Foresti
UTUMISHI (tpsc) - soko matola
ADEM - Foresti
UCC (Tawi la UDSM) - uzunguni
CBE – Mjini
TEKU -...
CHUO - SEHEMU
MUST - Iyunga
MCHAS (tawi la udsm) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT - Foresti
UTUMISHI (tpsc) - soko matola
ADEM - Foresti
UCC (tawi la udsm) - uzunguni
CBE – Mjini
TEKU - Block T
OPEN UNIVERSITY - Foresti
TUMAINI - uyole
KILIMO - Uyole
USTAWI WA JAMII - Uyole...
Katika kitu kinashangaza ni hili la vyuo vya umma vya elimu ya juu kuwa na upungufu mkubwa mno wa waalimu. Yaani kitu ninachojiuliza ni kwamba serikali haina uwezo kuajiri kuziba huu upungufu mkubwa wa waalimu au ni kwamba sio kipaumbele chao. Inashangaza zinatolewa ajira za walimu wa sekondari...
Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma.
Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake.
Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division Fulani wasithubutu kuziomba Bali waombe kozi Fulani (mfano tunasikia kwamba sheria UDSM na Mzumbe ni...
Na Mwl Matete
Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
Wanajamvi nimekuwekea link ya moja kwa moja kuangalia machagulio ya SHULENI na tahasusi kwa SHULENI zote Tanzania Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2021
Mara nyingi zinapotoka nafasi za kazi hasa zile zinatangazo Serikali. Kunakua na kukusisitiza waombaji wawe wametoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Sasa najiulizaga maswali sipati majibu
1. Vyuo ambavyo havitambuliwi na serikali ni vipi?
2. Kama havitambuliwi mbona wanatambua kua...
Habar zenu wana JF. Hope wote wazima.
Naombeni ushauri wa biashara nitakayoifanya mazingira ya chuo yenye kupata faida ukiachana na biashara ya kula na kuvaa. Frame ninayo ambayo ni kubwa 2 nimeanza na uwakala.
Asanteni
Kwanza nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.
Nina ndugu yangu yuko nje ya nchi alikuwa akifanya kazi sasa ameomba kazi hapa Tanzania kwenye moja ya vyuo vikuu maana ni PhD holder. Na pia Alipata kazi South Africa japo yeye anapendelea kurudi nyumbani. Sasa anapenda kujua mishahara ya vyuo...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI WA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2021/2022
Haya vijana muda ndio huu. Fanya applicatons mapema kuepuka last-minute congestion/scramble!
====
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
BARAZA LA TAIFA LA...
Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye amesema Utafiti ni muhimu kwa maendeleo kwa Umma na ulimwengu wa ujumla akiongeza kupitia Tafiti hizo, Chuo vina wajibu wa kutatua changamoto zinazokabili jamii.
Ameeleza hayo Mei 24, 2021 katika Maadhimisho ya Sita ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.