TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI
Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% .
ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ
Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
Husika na kichwa cha Uzi apo juu.
Kam mfatiliaji wa mambo ya chuo utagundua vyuo vingi vya serikali haswa institute hizi au college gharama za hostel zipo juu sanaa.
Mfano IFM, CBE na TIA gharama zao kwa mwaka ni 450,000 huku vyuo kam Mzumbe, UDSM gharama zao zipo chini sana ni 120,000 kwa...
Wanabodi,
Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Habari za muda huu vijana,
Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu kilichonistaajabisha ni nikukuta application zao ni bure kabisa for certificate, diploma na undergraduate...
TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online.
Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania.
Shida iko wapi.
Wakuu Salaam:
Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.
Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.
Hawa...
Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi!
karibuni ndugu zangu.
Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule...
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa mkoa wa Njombe...
Ndugu wana CCM,
Ndugu yetu, kijana wetu Emmanuel Polykap Mlelwa hatunae tena. Nimepigiwa simu na baba yake mzazi, Diwani mstaafu wa kata ya Madope-Ludewa kuwa ameuwa na watu wasiojulikana eneo la Kibena.
Mwili wake ulihifadhiwa hospitali ya Kibena leo ni siku ya sita ndiyo umetambuliwa...
TCU hongereni sana kwa jitihada za kusimamia utoaji wa taaluma na uendeshaji wa vyuo vikuu nchini. Kwavyovyote vile kazi yenu sio ndogo. Hongereni sana pia kwa kutoa miongozo mbalimbali ya taratibu za namna ya kuendesha na kufanikisha mambo mabalimbali kwenye elimu ya juu.
Angalizo tu ni namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.