vyuo

  1. YEHODAYA

    Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kufanya kazi ya Mungu

    Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu...
  2. Red Giant

    Naona kama mabinti waliohitimu vyuo wanakabiliana vizuri na changamoto ya ajira kuliko vijana wa kiume

    Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali. Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
  3. MK254

    Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

    Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu. The University of Nairobi has been ranked the top...
  4. I

    Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe. Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
  5. MR.NOMA

    Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

    Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
  6. R

    Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

    Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
  7. D-enzo

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali vya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali kada ya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)
  8. Elisha Sarikiel

    Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  9. C

    Vyuo Vikuu anzisheni Benki yenu

    1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini. 2. Wateja ni wanafunzi...
  10. Masalu Jacob

    Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
  11. Rebeca 83

    Tuwe na vyuo vya ufundi vingi sasa

    Hello JF... Nimeona kilio cha wahitimu wetu wa University kuongezewa deni la mkopo. Hii ipo nchi nyingi duniani. I understand, deni linafidia na kuwasomesha wengine. ila ingependeza kama serikali ingejenga colleges ambazo zinatoa course almost similar but at cheaper price, kiasi kwamba...
  12. M

    Ni wakati sasa tuwe na Hospitali-Tiba za Vyuo Vikuu

    Heri ya Mwaka 2021! Nimetafakari mengi juu ya mwelekeo kiafya katika bara la Africa na changamoto za tafiti pamoja utegemezi wetu kwenye tafiti na ufumbuzi wa matatizo ya Kiafya nje ya Africa. Maradhi ndio chanzo cha mfumo tiba Africa. Wakati kwingineko Afya Bora ndio chanzo cha mifumo yao ya...
  13. sky soldier

    Ushuhuda wa familia yetu: Nguvu kubwa itumike kuwafundisha watoto kujitegemea ili wasisote kama sisi wahitimu wa vyuo

    Habari zenu wakuu, Leo nmeona nitoe neno hapa, zama zimebadilika wadau, Kukazia elimu zamani ilikuwa ni kujiongezea uhakika wa kujitegemea ukiwa mkubwa kwa kuajiriwa serikalini au kwenye makampuni. Na hata mimi binafsi kwenye familia yetu wazazi wetu walituasa sana tusome sambamba na adhabu...
  14. B

    Wamiliki wa Shule za na Vyuo vya Private mnakwama wapi?

    Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali. Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo kulingana na urefu wa kamba zetu
  15. I

    Poleni vijana mnaomaliza vyuo kipindi hiki. Mnanyanyaswa na kudharauliwa sana na viongozi, eti mjiajiri wakati wao wana ajira

    Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake...
  16. mathsjery

    Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike

    Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course? Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa. Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other...
  17. K

    Chato ni sehemu nzuri ujenzi wa vyuo na uwekezaji mwingine, karibu

    Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile. Ujenzi wa uwanja, mbuga ya wanyama, vyuo na majengo yenye adhi zikiwemo hotel kutasiadia sana kupunguza uhalifu kwa maana ulinzi...
  18. Z

    Rais Magufuli njoo vyuo vikuu ujionee. Manunuzi ya magari ni suala pana kuliko linavyotajwa mbele yako

    Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati Shule, Hospitali na Madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu...
  19. S

    Walimu wa vyuo vikuu ambao hawajawahi kufanya kazi katika field wanazofundisha, wanaweza kuwa walimu wazuri?

    Habari wakuu, Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
  20. uchumi2018

    Ifike muda wahitimu wa vyuo waliokopeshwa na Serikali kusoma, walipe deni bila riba

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
Back
Top Bottom