Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering.
Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa kweli!?
O-level.
Biology-B.
Physics-B
Chemistry-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
English-B...