Habari wapendwa,
Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat.
Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili?
Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan.
Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo.
Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra.
Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC.
Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.
Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...tena msukumo ulitokana na kusomeshwa bureee uitokana na kuwa na...
Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu.
Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA.
Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo.
Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani.
Serikali...
Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya.
Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
Daah salamu zenu wadau.
Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo.
Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana inaonekana hizi meseji za Tiktok zimewaharibu.
Videmu vina wanaume kwa uchache saana watatu ila kwao...
Ndugu zangu watanzania wenzangu katembeleeni tovuti za vyuo vikuu vyetu vya umma anzia na UDOM, nenda Nelson Mandela uje uniambie kama utapata taarifa unazohitaji. Ndio maana watanzania wa kawaida wanawadharau wasomi wetu.
Unafungua tovuti ya UDOM ukitegemea upate programme lists, programme...
Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU.
Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi.
VYUO hivi...
Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
Napenda kutanguliza juhudi ya baadhi ya platforms zinazofanya vizuri kutufikishia wanajamii taarifa ambazo ni za muhimu maskioni kwetu...
Nimekua nikifwatilia kwa siku chache sababu zinazo pelekea kuongezeka kwa ajali Tanzani, kumbe kunaanzia mbali sana.
Moja kati ya vyanzo vinavyosababisha...
Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini.
Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/
Nukuu 1:
As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...