wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  2. BARD AI

    Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
  3. okiwira

    Niukatae vipi mchepuko wa zamani?

    Moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa. Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa umerudi upo kwao hautaki kurudi tena kwa mumewe. Kabla haujaolewa tuliahidiana kuja kuzaa watoto wawili...
  4. BARD AI

    Kocha wa zamani wa Brazil, Scolari amethibitisha kustaafu

    Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa Soka. Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 74 aliaga baada ya ushindi wa nyumbani wa Athletico wa 3-0...
  5. 5

    Putini aruhusu wafungwa wa zamani kujumishwa jeshini

    Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria. Rais Vladimir Putin aliifanyia marekebisho sheria ya kuwaita askari wa akiba na kuwajumuisha wanaume...
  6. Mowwo

    Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

    Wakuu nadhani mko poa Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano...
  7. GENTAMYCINE

    Hivi nanyi Wazee wa zamani mliopo hapa JF nanyi enzi zenu huu Upuuzi 'unaokera' ulikuwepo?

    Je, Wazee ( akina Baba ) wa zamani hapa JamiiForums hivi nanyi Enzi zenu hii tabia tuliyonayo Wanaume / Vijana wa Siku hizi ya Kuchafuana ( Kuuana kwa Mademu ) tunaowawinda 'Kuwangono' mlikuwa nayo au Wenzetu mlistaarabika zaidi? Nimeshasema kuwa GENTAMYCINE sikatai Kumtongoza Demu wangu na...
  8. EINSTEIN112

    Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza

    Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...
  9. JanguKamaJangu

    China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  10. Mchochezi

    Mchezaji gani wa zamani ambaye hukuwahi kumshuhudia akicheza lakini unaambiwa balaa lake lilikuwa kubwa🔥

    Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee. Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
  11. JanguKamaJangu

    Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

    Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
  12. BARD AI

    Bosi wa zamani RAHCO akutwa na kesi ya kujibu, wenzake waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhardard Tito. Tito amekutwa na kesi ya kujibu baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao wa mashahidi tisa...
  13. BARD AI

    #COVID19 Malaysia: Waziri Mkuu wa zamani alazwa baada ya kukutwa na UVIKO-19

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
  14. N

    Hivi wale majaji wa zamani hapa Tanzania mbona walikuwa imara sana?

    Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi. Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?! This is very sad and...
  15. BARD AI

    Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  16. Lady Whistledown

    Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani ashtakiwa chini ya Sheria ya Ugaidi

    Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali. Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
  17. Lady Whistledown

    Waziri Mkuu Wa Zamani wa Australia ashutumiwa kwa Kuendesha Wizara 5 kwa Siri

    Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu wa demokrasia Idara ya Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri imesema kuwa Morrison alikua Waziri mwenza...
  18. mitale na midimu

    Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  19. Swahili AI

    Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa Majura–Michezo Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari...
  20. Lady Whistledown

    Mhasibu wa Zamani wa Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa kwa Ubadhirifu

    Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakiwakabili likiwemo la ubadhirifu wa sh milioni 15.2. Hukumu hiyo imesomwa...
Back
Top Bottom