Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015.
Maria pamoja na maafisa wengine...
Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa Lusaka.
Nyumba hizo 15 ziliweka chini ya uangalizi maalum mwezi huu zikidaiwa kuwa zilipatikana kwa...
Kwema Wakuu!
Kuna mambo ya kale ambayo Wazee wetu waliyakataa na kuyapiga vita lakini wakaonekana hamnazo lakini Kwa sasa imedhihirika walikuwa sahihi kabisa, na aibu imetugeukia Wana usasa.
Mambo hayo ni pamoja na;
1. Elimu ya Mkoloni
Katika ya vitu ambavyo Wazee walivipinga Kwa nguvu zote...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh
Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa.
Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
Inaelezwa kuwa mzozo mkubwa umejitokeza kati ya Serikali ya #Angola na Familia ya Rais #JoseDosSantos baada ya Rais João Lourenço kuamuru kuundwa kwa tume ya Serikali kupanga mazishi ya kitaifa kwa mtangulizi wake, na kusema anategemea kila mtu kuhudhuria ikiwa ni pamoja na familia yake iliyopo...
Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa
Bw Kaboré aliruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake katika mji mkuu, Ougadougou, mwezi Aprili baada ya kuwekwa...
Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia, Hamadi Jebali aliachiliwa huru ikiwa ni siku ya nne tangu alipokamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha
Pamoja na hatua hiyo bado Jaji amesema Jebali ataendelea kuchunguza
Wakili wa mwanasiasa huyo, Samir Dilou amesema mteja wake atalazimika kufika Mahakamani...
Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos yuko katika hali mahututi hospitalini Jijini Barcelona Nchini Hispania, licha ya kuwa ugonjwa unaomsumbua haujawekwa wazi.
Dos Santos, 79, aliyekuwa madarani mwaka 1979-2017, amekuwa katika matibabu tangu 2019, inaelezwa kuwa afya yake imezidi...
Kuishi kwingi ni kuona mengi.. Nimeona mengi yakibadilika kwenye ununuzi wa magari..
1. Enzi hizo watu waliokuwa kwenye circle yangu hakuna aliyenunua gari kwa mkopo.. Gari tulidunduliza hela mpaka tukavuta..
2. Magari yetu ya kwanza almost 85% yalikuwa ni pick ups.. Hakukuwa na mnunuzi wa...
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa utawala wake wa zaidi ya miaka 20.
-
Wizara ya Sheria imesema kuwa Mei 25...
Majina ya wachezaji wa zamani na sasa.Je walichezea timu gani na wako wapi kwa sasa?
Moderator naomba uzi huu usiuhamishie kule kwenye michezo kwanza nimeona niuweke ukurasa huu unaosomwa na wengi unaweza peleka kule baadaye
Nimeweka picha ya Daudi Salum Bruce Lee kama muwakilishi wa wachezaje...
Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110
Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead.
The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta.
“It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House.
“I order...
Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa.
Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii.
1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako.
Na kama alikupendea...
Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii.
1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako.
Na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.