Wengi wetu huamini sisi (Waafrika) ni dhaifu na bila mzungu tungekuwa bado tunavaa majani, binafsi sikubaliana na hili. Labda niwakumbushe, katika zama zote za binadamu wa kale alikuwa akipiga hatua kutoka moja kwenda nyingine, na wakati mkoloni anafika Afrika alitukuta tumeshahama kutoka zama...