waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Maswali magumu kuhusu ubaguzi katika Dini duniani:- 1. Mwafrika anawezakuwa Papa? 2. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Anglican duniani? 3. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Lutheran duniani? 4. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Suni duniani? 5. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Shia duniani? 6. Mwafrika...
  2. kimsboy

    Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

    Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe. Hapa nazungumzia...
  3. beth

    #COVID19 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo

    Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  5. Sky Eclat

    Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
  6. 0ozg Tz

    Waafrika wengi tunaishi kama mifugo

    Hatuna muda wa kuinjoy maisha Mkikutana wapenzi ndani ya wiki mbili tu mmeshabebeshana mimba Hakuna time ya kufutahia uhusiano wenu utazani nyie ni ng'ombe kwamba mkizaa haraka mnamsaidia mfugaji kupata maziwa na mifugo kuongezeka. Ona wenzetu weupe wanavyoinjoy,wanaanza na uchumba,wanakaa...
  7. M

    Hii ya Mtoto kufa baadae kuonekana hai tuiitaje

    Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe amesema mtoto...
  8. Song of Solomon

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza. ____________ Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo...
  9. kyagata

    Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

    Wakuu Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja. Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich...
  10. Valencia_UPV

    Ethiopian Airlines Mkombozi wa Waafrika

    Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar. Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu...
  11. B

    Visa na Mikasa ya Ethiopian Airlines - Waafrika Kulikoni?

    Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria: Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu? Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi. Haya...
  12. M

    Je, umeshasikia habari za Waafrika wa Bombay?

    The Bombay Africans in the 19th century, Waafrika waliookolewa na wanamaji Waingereza kutoka jahazi zilizobeba watumwa kwenye Bahari ya Hindi; wengi walikuwa vijana, watoto au wanawake. Waingereza waliwapeleka kwenye vítuo maalum huko Uhindi - Bombay; maana waliona wakiwarudisha pwani la Afrika...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

    Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana. Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu. Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
  14. Red Giant

    Waafrika walifika bara la Amerika miaka mingi kabla ya Columbus.

    Inasemekana kabla hata ya Yesu waafrika walikuwa wamefika bara la Amerika na kuanzisha ustaarabu huko ulioitwa olmecs. Hawa ndiyo waliwafundisha watu wa Amerika kujenga mapiramidi na kuchonga masanamu makubwa ya mawe. Walipeleka na teknolojia ya kujenga mapiramidi.
  15. L

    Waafrika wafurahia huduma ya bei nafuu inayotolewa na kampuni za China

    Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
  16. Analogia Malenga

    UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  17. GENTAMYCINE

    Kwa Taarifa za Matukio ya 'Kipuuzi' kama hili kutoka Barani Afrika, Wazungu wakisikia na wakiendelea 'Kutudharau' Waafrika watakuwa wanatukosea?

    Mtu Mmoja aitwae Godwin Mathew ( 26 ) kutoka nchini Nigeria amemuua Baba yake Mzazi Mathew Audu ( 64 ) kwa Kosa la Kula Nyama ya Kuku yote katika Sahani na Kumbakizia Mwanae Kichwa tu. Taarifa: Nipashe Online Siyo kwamba GENTAMYCINE nasema kuwa Wazungu nao hawana Mapungufu yao ila angalau...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

    Habari! Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa...
  19. kwisha

    Kwanini Waafrika hatuendelei katika maisha

    Kuna kitu nimejifunza katika maisha yetu sisi wa Afrika na nimepata jibu kwanini sisi ni maskini First one sisi wa Afrika atupatiane support Second one sisi wa Afrika tuna wivu sana Unaweza mkuta mtu anaogapa kumfanyia jirani yake kitu fulani eti akimpa atafanikiwa ni bora akampe mtu mwingine...
  20. Misss Chuga

    Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

    Habari za muda huu wadau wote wa Jf! Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema. Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa...
Back
Top Bottom