waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nje ya Dharau na Nyodo zake za Kiasili, ila Kocha Mourinho ni Bonge la 'Genius' halafu anatupenda na kutujali mno Waafrika

    Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup. Chanzo: Africa Archives Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
  2. kavulata

    Waafrika twendeni tukazoe mafuta ya chee Urusi kama wanavyofanya China na India

    Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata...
  3. sky soldier

    Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  4. MSAGA SUMU

    Ukiacha Wazungu, Waafrika tunafuata kwa uvumbuzi, Waarabu na Wahindi ni kelele tu. Macho madogo ndio bure kabisa.

    Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible...
  5. Linguistic

    Utesaji wa Wachina kwa Waafrika kwa kigezo cha Uwekezaji

    Wawekezaji wa kichina wamekuwa Wakiwatesa sana Wafanyakazi Wao wa kiafrika. . Kwenye hii video inaonesha mchina akimpiga mfanyakazi wake huku akisaidiwa na Mtu mweusi. . Inasemekana mchina na Huyo Msaidizi wake wamekula mvua na mahakama ya Rwanda. . Unyanyasaji Huu uko sehemu kubwa sana barani...
  6. JF Member

    Kwanini Umoja wa Afrika usisaidie Waafrika kupunguza bei ya Mafuta?

    Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...
  7. kmbwembwe

    Vita ya Ukraine; Waafrika tuamke, ni ubeberu wa Magharibi dhidi ya walimwengu

    Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea. Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia. Utaona...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    VIDEO:- Waafrika tuna mila za ajabu sana, huu ni uchawi au ni nini?

    Video nimeiba kwenye mikoba ya Mshana Jr
  9. Sol de Mayo

    Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

    Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni...
  10. B

    Kura ya Veto UN, waafrika tunavyojidangaya

    Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo. Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu. Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi...
  11. Hero

    Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  12. MK254

    Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  13. Dkt Guston

    Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

    Habari wana JF Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya. Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
  14. Suley2019

    Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika katika nchi zao unaelezwa kuongezeka siku hadi siku

    Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika unaelezwa kuongezeka siku hadi siku African Migration Trends to Watch in 2022 – Africa Center for Strategic Studies wanaeleza kuwa Idadi ya Uhamaji wa Waafrika ndani na Nje ya Afrika inaelezwa kuongezea karibu mara mbili zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2010, na...
  15. Kibingu

    Waafrika yatupasa kuiangalia vita ya Ethiopia kuliko vita ya Ukraine

    Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe. Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika...
  16. sky soldier

    Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  17. B

    Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  18. Natty Bongoman

    Mtu mweusi leo kujitambua na kutambua historia yake halisi na ya ukweli ni kazi ya ziada

    Habari zenu wanaJF wenzangu. Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
  19. K

    Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

    Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayoelekea Poland ambayo inabeba raia wanaokimbia vita.
  20. Acehood

    Waafrika wanajiona kama wanaonewa muda wote. (Inferiority)

    Toka juzi nafuatilia matukio yanayotokea huko Ukraine kupitia Twitter, ila kuba hili suala la waafrika kujiona kama wanaonewa hasa kupewa hifadhi na access kwenye safe zones inasikitisha sana. Kuna clips zinasambaa mojawapo ni waafrika hasa wanaijeria wanalalamika hawaruhusiwi kuingia Poland...
Back
Top Bottom