waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Waafrika tuache unafiki kuhusu suala la Morocco

    Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu? Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
  2. ASIWAJU

    Je, sisi Waafrika hatuna akili?

    Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote. Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii. Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo kichwa cha mada kiulizavyo. Je, waafrika hatuna akili ?kweli au sikweli jibu langu kama mleta mada ni...
  3. GENTAMYCINE

    Huu ndiyo upuuzi pekee ambao Waafrika tunauweza na kujivunia nao

    Vincent Aboubakar ndiye mwamba aliyewezesha rekodi ya timu ya kwanza kutoka Afrika kuifunga Brazil tangu kuumbwa kwa uso wa dunia. Licha ya ushindi huo, Cameroon haijafanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora, lakini mchango wa mwamba huyo hautosahaulika ndani ya kikosi hicho. Chanzo: tbc_online...
  4. GENTAMYCINE

    Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

    1. Mfano kuna Taifa Moja (siyo Rwanda) Wananchi wake kwa sasa wameanza Kuchagua Timu za Kushangilia katika Kombe la Dunia lijalo wakati Wao hata Kufuzu tu AFCON ni shida na hapo hapo tena kuna Timu imefuzu Kombe la 'Luzaz' lakini Wanashangilia utadhani Wametinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa...
  5. M

    Guardiola kwa aibu achezesha Waafrika Mancity lakini bado hatujaridhika

    Mzuka Wanajamvi! Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji. Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema. Kwa hilo...
  6. Ali Nassor Px

    Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

    Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now. nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya. kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
  7. J

    Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

    Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi...
  8. J

    Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

    Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k Takriban watumwa milioni 6...
  9. M

    Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

    Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa. ITV === Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
  10. M

    Nimemsikiliza Kiumakini sana Malema juu ya Kifo cha Her Majesty Queen Elizabeth na kugundua huenda akawa na Akili Kubwa kuliko 98% ya Waafrika

    Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika. Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia...
  11. Komeo Lachuma

    Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

    Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka...
  12. MamaSamia2025

    Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  13. Kijakazi

    Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu. Mfano inakuwaje Afrika Muhindi, Mzungu au hata Mwarabu...
  14. M

    Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli? Chifu mangungo ni nani...
  15. kwisha

    Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

    Kuna kitu nimekitafakari sana, kwanini sisi Afrika hatuna maendeleo? Nikaja kutambua kuwa, viongozi wetu wengi wa Afrika hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu, ndiyo maana tupo nyuma kwa kila kitu. Hivi fikiria ka inchi kama Qatar kanatuzidi uchumi sisi! Palipo na ukweli lazima pasemwe...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  17. MamaSamia2025

    Ile Ivory Coast ya kina Drogba, Kolo Toure, Didier Zokora na wakali wengine ilituhujumu waafrika.

    Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa. Hii Ivory Coast...
  18. D

    Waafrika wanatia aibu sana

    Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana inapokuja suala la wao kwenda kucheza AFCON kati kati ya msimu Limegeuzwa na kufanywa kuwa ni jambo...
  19. MakinikiA

    Hivi huyu Macron anatutaka nini sisi Waafrika?

    Macron akosoa 'unafiki' wa viongozi wa Afrika kuhusu vita vya Ukraine Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekosoa vikali mwitikio wa viongozi wa Afrika kuhusu vita vya Ukraine wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Yaoundé. Bw Macron aligonga msumari na kuita ni"unafiki, haswa katika...
  20. J

    Masultani wa Zanzibar Ali Bin Hamud, na Khalifa bin Harub, walikuwa Waafrika

    Ali Bin Hamud Khalifa Bin Haroub
Back
Top Bottom