waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  2. GoldDhahabu

    Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
  3. G

    Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

    Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia. Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud Ni boss...
  4. Teslarati

    Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

    Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je...
  5. Braza Kede

    Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

    Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?
  6. Rorscharch

    Waafrika tunaongoza kwa kujifanya tunajua mambo mengi wakati hata utafiti kidogo kwenye hayo mambo hatujafanya; mtu kaambiwa tu ishakuwa kweli!

    Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari juu ya ukweli au mantiki ya kile kinachosemwa. Mara kwa mara hukutana na watu wanaoamini mambo ya...
  7. S

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    Habari za ijumaa wanajamiiforums? Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili? Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu. Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda...
  8. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  9. wasumu

    Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

    Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
  10. Infropreneur

    Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

    Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
  11. G

    Dunia ingejaa waafrika tungefikia hata theluthi ya hapa tulipo ?

    1. Mpaka leo kungekuwa hakuna vitabu wala maandiko, kila kitu ni kwa kuongea. 2. Mpaka leo kupaa angani ingeaminika ni kwa wachawi 3. Kutuma ujumbe wa mbali zingetumika yowe ama kumtuma kijana mwenye mbio asafiri 4. Vita zingeendelea kuwa za ana kwa ana, Mapanga, visu, mateke, ngumi
  12. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  13. H

    Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  14. Father of All

    Waafrika tutajitambua lini na kuachana na ukoloni wa kidini na kimila hata kiuchumi?

    Akiitwa Mjapan utasikia Mashayoshi Ohira. Akiitwa mchina utasikia Nie Hon Hun. Akiitwa mzungu utasikia John, Michael nk. Akiitwa mmanga utasikia Mohamed bin Suleiman. Akiitwa gacholi utasikia Kanji Mahendra. Akiitwa mswahili utasikia John Mohamed Michael nk. Je waswahili tutajitambua na...
  15. Rorscharch

    Nimeanza Kuamini Ulegelege Wetu Waafrika Kama Bara Katika Maendeleo Unatokana na Wastani wa IQ ya Umma Kuwa Chini Sana (Sehemu ya II)

    Makala hii ni muhtasari mpana wa sehemu ya kwanza ya mjadala kuhusu mchango wa wastani wa IQ katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya bara la Afrika. Katika sehemu ya kwanza, tulichambua jinsi wastani wa IQ kati ya makundi ya Mongoloids, Caucasoids, na Negroids unavyoweza kuathiri maendeleo...
  16. G

    Tusisingizie Ukoloni, Waafrika tunafeli wapi, tunashindwa vipi kuwa na nchi hata moja ya kutuwakilisha kwenye nchi 50 zenye maendeleo duniani?

    Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za kijamii, elimu inayosaidia jamii, amani, n.k. Kwa hapa Africa imekuwa ngumu sana, Kuna matajiri lakini...
  17. UMUGHAKA

    Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  18. L

    Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika. Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
  19. Annie X6

    SI KWELI Trump ametoa hotuba ya kibaguzi dhidi ya waafrika na Waarabu

    "HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU". Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001. Marekani tunayoijua leo...
  20. NostradamusEstrademe

    Wazungu ni wa hovyo kuliko sisi Waafrika

    Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako. Mfano. 1.Mtu na mke wa ndoa kugoma kuzaa kisha wanataka ku enjoy lakini wana asili mtoto 2.Kuoa mke zaidi ya...
Back
Top Bottom