Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano
Wale wanaosema misaada ya US...
Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu aisee inahitaji nguvu ya ziada kuipandisha
Hadi Sasa nimetambua Kuna classification tatu za...
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe.
Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...
Ukweli ni kwamba maisha tunayoishi leo ni matokeo ya maandalizi ya Jana, Tulichokiishi Jana ndio kina aksi maisha ya leo.
Ni ukweli kwamba kile tunachokiita laana na Dhambi kubwa kufru na ushetani hakijaibuka from no'where na kuchipua kwa kasi hadi kufikia hatua ya kushangaza, Bali ni matokeo...
Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi.
Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
HIVI UNAJUA YA KWAMBA🌚
-Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃
-Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora zaidi kwenye historia ya Muziki Duniani😃...
-Bob Marley alipata umaarufu duniani kote... akitamba na...
vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia
vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia
mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa
huku kwetu tukipigana kidogo wanaingilia kati ila kwao wanatafuta upande wa kujiweka huku wanasapoti vita.
tunachofeli...
Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na kuanza kuchimba wenyewe
"Tunajua jinsi ya...
Kiukweli sisi waafrika hatuna upendo kabisa. Ni kitu ambacho kama tunajilazimisha tu kuwa nacho ila ndani yetu hakipo. Sio kwa wote ila kwa wengi wetu hatuna upendo.
Badala ya upendo mwafrika kaumbiwa sifa. Aisee sisi watu tunapenda sifa haijawahi tokea duniani. Angalia tu misafara ya viongozi...
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.
Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa, ikabidi ahamishie kiwanda huko Lagos. Kimeanza kujengwa mwaka 2016 na kukamilika 2023-2024 kwa...
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake.
Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo.
Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk.
Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri...
Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa.
Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering.
Lakini i was wrong,
Sio kwamba sisi ni...
Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa
ILA,
Ila naamini Uchumi sio hesabu.
Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo.
Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno
Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama, uchumi upo vizuri, n.k. Ni kwamba kwao mambo yakiwa mazuri hawana motivation ya kusaidia wengine wenye...
LIBERIA 1980
Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis.
On April 12, 1980, Samuel Doe led a military coup, killing...
Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
Kama aliye turoga kajificha mahala,, tafaadhali, ajitokeze aje atugangue uchawi wake,, maana huo uchawi ni hatali sana... waafrika tumekuwa kama mazuzu na mafisi yanayo mfatilia mwadamu nyuma nyumba yakiamini mikono ina tingishika itaanguka na kufaidia minofu!
Kuna picha jongeo fupi (clip)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.