Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...