waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  2. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  3. Cute Wife

    Mwandishi wa Mtandaoni Bruce John alawitiwa baada ya kufichua uovu wa mwanasiasa

    Wakuu, Viongozi Afrika Mashariki wameingiwa na pepo gani? Kutoka nchini Kenya mwandishi anayejulikana kwa jina la Bruce John ameripotiwa kuteswa na kulawitiwa mara baada ya kufichua uovu wa Gavana wa Mombasa. Bruce kupitia mfululizo wa video zilizowekwa kwenye mtandao wa Tiktok alidokeza kuwa...
  4. L

    Marudio ya mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi alipozungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri

    Ndugu zangu Watanzania, Usikose kufuatilia marudio ya Mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katibu Mkuu wa CCM alipozungumza na Wahariri na waandishi wa Habari. Ratiba yake itakuwa kama ifuatavyo Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  5. Suley2019

    Jeshi la Polisi kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 13, 2024 kuhusu tamko la CHADEMA la Septemba 11, 2024

    Soma Pia: Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
  6. T

    SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  7. Black Butterfly

    Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  8. M

    Hizi ndizo mbinu zilizotumiwa na CIA kuudhofisha Ujamaa duniani. Waandishi wa habari wa kijamaa walikipata cha moto

    Fuatana nami Kama uliwahi kusikia dunia ya magharibi na mashariki, au ulipata dodoso za vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia Baadae vita ya baridi basi vuta kumbukumbu hapo. Dunia ilikua almanusura izolewe yote na wajamaa, au ujamaa kumbuka tulikua na ujamaa na ubepari, mataifa mengine...
  9. Ritz

    Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

    Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya. Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
  10. THE FIRST BORN

    Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  11. Mindyou

    Cyril Ramaphosa: China haina lengo la kuiingiza Afrika kwenye mtego wa madeni

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni," Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
  12. JamiiCheck

    KWELI Rais Mwai Kibaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa ana mke mmoja tu

    Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kujua uhalisia wa Kipande cha video kinachomuonesha aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki akizungumza na vyombo vya habari kwamba ana mke mmoja tu kama ni cha kweli au kimetengenezwa.
  13. and 300

    Waandishi wa Habari TZ ni makada?

    Hawa waandishi wetu huwa hawanaga ubunifu wa kuandika habari zinahusu jamii yetu? 1. Vijana, 2. Ukosefu wa ajira? 3. UTEKAJI/abductions, 4. Kuwawezesha wanawake? 5. Ulinzi wa watoto? 6. Mabadiliko ya tabia ya nchi/mazingira? NB: Zaidi ya kuripoti mikutano ya viongozi, matamasha? vikao vya bunge?
  14. Roving Journalist

    Majaliwa: Ni Wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wahandisi wazawa kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa na iendane na thamani ya fedha inayotumika. Amesema ni wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika kulingana na...
  15. A

    Uandishi wa kweli wa Habari umekufa Tanzania (True Journalism has died in Tanzania)

    Siku za karibuni tunazidi kuona upotovu wa ukweli kwenye Vyombo vya Habari unaozidi kukithiri nchini. Hii inatokana na Waandishi wa Habari za kiupelelezi kuangalia maslahi yao binafsi kwa kupokea hongo, na kuishia kuminya ukweli wa habari zinazotakiwa kutolewa. Sijui niseme Waandishi wa Habari...
  16. Black Butterfly

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya...
  17. Black Butterfly

    Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Update (Agosti 21, 2024) Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni...
  18. GENTAMYCINE

    Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  19. M

    Waandishi wa habari za kiuchunguzi Tanzania, wapo wapi kuandika juu ya manabii na mitume hapa nchini ili kuokoa kizazi cha nchi hii?

    Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile. Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi. Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki vyeti, mvitunze kabatini au lengo ilikua ni nini? Kwa sababu mmegoma kuandika habari za kiuchunguzi juu...
  20. Erythrocyte

    Tulia Ackson anatoa Tuzo kwa Waandishi wa Habari kama nani, Ili Iweje?

    Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge? Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu kuwapa Tuzo Waandishi wa Habari, ikiwa kama kuna aliyeguswa na Umahiri wa Wanahabari basi atumie...
Back
Top Bottom