Hawa waandishi wetu huwa hawanaga ubunifu wa kuandika habari zinahusu jamii yetu?
1. Vijana,
2. Ukosefu wa ajira?
3. UTEKAJI/abductions,
4. Kuwawezesha wanawake?
5. Ulinzi wa watoto?
6. Mabadiliko ya tabia ya nchi/mazingira?
NB: Zaidi ya kuripoti mikutano ya viongozi, matamasha? vikao vya bunge?