waandishi

  1. Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  2. TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  3. B

    Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
  4. Waziri Prof. Kabudi anazindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Machi 3, 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini. Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
  5. Waandishi wa habari za michezo hawaipendi Simba

    Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
  6. B

    Waziri Kabudi kuzindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari machi 3

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
  7. M

    Waandishi wa habari wamsusia LEMA? Wakata kumuuliza swali lolote

    Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA. Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event itafanyika kesho kutwa. Hakuna location , wala aim of event
  8. Kwanini marefa hawahojiwi na waandishi wa habari baada ya mechi kuisha?

    Huwa naonaga baadhi ya wachezaji na makocha wakihojiwa na waandishi baada ya mechi kumalizika ila sijawahi kuona marefa wakihojiwa, ni kwanini?.....
  9. Waandishi wengi wa habari wanatakiwa kujibiwa kama huyu alivyojibiwa na Kally Ongala.

    Kila siku tunalalamika kuhusu waandishi wa habari za michezo nchini kukosa weledi wa kuuliza maswali Jana baada ya mechi Kocha wa KMC aliulizwa swali ambalo kocha huyo alijibu sawa sawa na muulizaji alivyo uliza.
  10. Kesi ya Dkt. Abdi Warsame anayeshutumiwa kwa wizi wa mabilioni yasikilizwa kisiri Kisutu, Waandishi wazuiwa

    Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
  11. Pre GE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  12. Wilson Oruma amshukia Kocha Yanga Saed Ramovic aache unafiki na kuficha Makosa yake

  13. Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  14. Wakuu naombeni CV za Waandishi habari wote waliomuhoji LISSU tangu atangaze kugombea umakamu !!.

    Husasan wa Media za hapa Tanzania !!. Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU . Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?. Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
  15. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  16. R

    Tuliokuwepo tujikumbushe: Mkutano wa Rais Julius Nyere na waandishi wa habari

    Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi. Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu. Sasa...
  17. M

    ONESMO MUSHI; Mbowe alipotangaza maandamano alijikuta na watoto wake na waandishi wa habari mkifanya masihara nextime hata hao waandishi hamtawaona

    BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21. Ndugu Wajumbe, Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja. Sasa...
  18. Pre GE2025 Afisa Uandikishaji Halmashauri ya Mbeya: Msilewe na kutumia vilevi wakati mnaandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye vilevi wakati wa zoezi la kuboresha Daftari la mpiga kura linalotarajiwa kuanza Desemba 27, 2024...
  19. Waandishi wa habari mnapata wapi ugumu wa kumuhoji Abdul juu ya sakata la fedha za mama Abdul?

    Waandishi wa habari wa bongo ni wakuda sana. Wote wameufyanta mkio hakuna hata mmoja aliyethubuti kumtafuta Abdul na kumuhoji juu ya sakata la fedha za mama Abdul. Wazee inabidi mbalansi story yenu kwa kumuhoji na Abdul pia baada ya kuwahoji Wenje,Lissu na Mbowe. Walaji wa habari zenu...
  20. Pre GE2025 Mbeya: Tulia Ackson akusanya waandishi wa habari ili kutoa msaada wa tani mbili za chakula kwa wasiojiweza

    Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine. Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…