“Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.
Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
Mwandishi Sammy Awami amejitahidi kwa kiwango kikubwa kuuliza maswali ya msingi sana lakini Humphrey Polepole amebisha vikali juu ya ukiukwaji mkubwa wa demokrasia
Wasalaam,
Kuna tatizo la kimsingi la waandishi wetu wa habari, huenda ni kwa utashi, au uoga au muono pofu.
Hoja ya Bwana Mkapa Jana imesulubishwa na kijihoja Cha kutakiwa kuuwawa kwa bwana mmoja! Nadhani waandishi walitakiwa ku -capitalize kwenye hoja za mleta hoja lakini wengi wao wameacha...
Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe.
ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi yao
Waandishi hao kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Uganda (UJA) walikuwa wakienda kukutana...
Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au amekwishaandika hadithi za kubuni au za kweli na angependa ziuzwe kama kitabu duniani pote tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.