Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa #COVID19, Serikali imesema kuanzia leo mikutano ya Waandishi wa Habari na shughuli nyingine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa
Hivyo, taarifa za Waziri wa Afya kuhusiana na ugonjwa huo zitatolewa kwa njia ya...
Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.
====
Updates
“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.
“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana
Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter:
Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili mchana, ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe...
Diamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake.
Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro mzito na ikidaiwa kuwa penzi lao limefika mwisho. Je, ndicho kitu ambacho Diamond anataka...
Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi
Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe
Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo
“HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi kutokea nchini.
Wakati huo, mwaka 1998, Mzee Barnabas Maro, maarufu Kamba Ulaya, alikuwa mhariri wa...
Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani tasnia ya habari inavyopoteza weledi wake siku hadi siku.
Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani
wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM
Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
Mkutano wa mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo Februari 03, 2020 majira ya 5 asubuhi umejaa hadaa na upotoshaji kwa umma, nitafafanua kila jambo kwa hoja.
Tume huru ya Uchaguzi.
kamati ya Maridhiano
Marekebisho ya katiba
kuzuiwa kusafiri nje...
Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA
na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao
Vitabu vya Watoto
Muandishi
Jina la kitabu
W. Mkufya
Androko na Simba
Ziraili na Zirani
Richard Mabala
Mabala the Farmer
Hawa the Bus Driver
Elieshi Lema
Safari ya Prospa
Mwendo
Parched Earth
Nyamanza Ndege wa Amani
Parched Earth: A Love...
Hi..
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu au stori mbalimbali itakua kuna watunzi utakua unawakubali, kuna watu wamejaliwa vipaji sana humu duniani yaani ukisoma kitu unajiuliza alifanyaje hadi akatunga kitu kama hiki. Unakuta stori imepangwa ikapangika akili kubwa imetumika. Binafsi hii ndio...
Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake ila akilini zenu mnazijua wenyewe kesho kalamu zenu ziunge juhudi mkono juhudi maana memory life span zinatofautiana kazi kwenu naamini mtanielewa.
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mama Kabendera pia pole sana kwa Kabendera kwa kukosa...
Alipotea Azory Gwanda mpaka leo hamjachukua hatua yeyote
Kwanini msichukue hatua kwa vitendo kusitisha kutangaza habari yeyote inayohusu Serikali mpaka mwenzenu apatikane?
Angalia reaction yenu mbovu kukamatwa kwa Kabendera mmeshindwa hata kumchangia pesa ya matibabu mama yake mpaka amekufa...
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
Kwa mujibu wa Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka RSF, takribani nusu ya waandishi wa habari 400 waliofungwa duniani kote wapo katika mataifa matatu tu, ambayo ni China, Misri na Saudi Arabia
Akizungumza kabla ya kuchapisha ripoti ya mwaka huu ya shirika hilo kuhusu uhuru wa habari...
Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari kupitia ripoti yake ya mwisho wa mwaka huku ikibainisha kuwa mwaka 2018 idadi hiyo ilikuwa Waandishi 255
China ni ya kwanza kwa kufunga Wanahabari 48 ndani ya mwaka huu huku Uturuki ikiwa nafasi ya pili ikiwa imefunga Wanahabari...
Wanabodi,
Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa malipo kiduchu, vyombo vya habari vinakabiliwa na ukata mkubwa, wamiliki wanaendeleza ujinga kwa kuajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.