KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Wasanii waandishi hunufaika na nini hasa baada ya kumfanyia kazi msanii mwenzao? Yaani kwa mfano Nandy kaandikiwa na Jay Melody, Aslay na wengine huko, je hawa waandishi hunufaika nini na na kazi waliyoifanya ambayo inampa mashavu mengi msanii aliyeimba ukiachana na wao walioandika?
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole ataongea na waandishi wa habari kuanzia saa 10.00 jioni.
Kikubwa ni nidhamu ya kuzingatiwa kwa watia nia ya kugombea Ubunge na udiwani kwa tiketi ya chama tawala yaani chama dume CCM. Baba Lao.
Mkutano unafanyika katika ukumbi wa Jakaya...
Wanabodi,
Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....
Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza...
Hii ni ushauri kwa aliye karibu na bilionea mpya, Laizer wa Arusha.
Aogope sana maana waandishi wa habari watampamba, watamfurahia mpaka mwisho akiwapa vijisenti wakimtangaza.
Siku akiishiwa huanika kila kitu na kubakia haamini kama ni wale waliokula naye nyama za ng'ombe na kutapakaa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue.
Chanzo: Star TV
Membe anasema:
Kuhusu kugombea ndani ya CCM:
Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni.
Kwa nchi za...
Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika.
TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu.
Katika tukio hili napo...
Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.
Mkutano huu umehairishwa baada ya M/ kiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati...
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni.
===============
Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona.
Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza...
Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
Wanabodi,
Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Daudi Mwangosi, Josephat Isango, maajaliwa ya hatma za maisha yao...
Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa.
Source: Clouds tv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.