Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu.
Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
Kama uwezi kuwa mfatiliaji wa siasa na habari za kimataifa na undani wake ukikalia udini kuona waarabu ni dini yako basi tambua ni adui zako kwa sasa afrika karne hii.
Lawama zimekuwa nyingi kuanzia ugaidi, vita na uchumi yaani wenyewe wanajua pesa sio kutumia hekima kuangalia mbele.
Kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.