Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu.
Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume wengi weusi matamanio yao huwa yanaanzia huko na sio katika uso, kichwani au shingo vya mwanamke. Sasa kusema wanawake mfano wa kibantu wajifunike kichwa, uso au shingo inakuwa haisaidii chochote kwamba itapunguza matamanio ya wanaume katika jamii zao.