Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Mwanamke kalio mengine tutavumiliana.
Hili sipingi japo wachafu wapo.Uislam ni Usafi nimesema katika maeneo yote ya maisha, including sorroundings, ila tu wengi wanajali usafi wa mwili zaidi na kidogo ndani ya nyumba za kulala..ila usafi unapaswa kufanyika kote
Kwa hilo siwapingi , kukuta mdada wa kirangi anasugua ndala 24hrs ni kawaida , vipi kuhusu usafi wa mazingira yanayowazunguka ?
Ndo hayo mahijabu wapeleke hukohuko, sisi hata uvishe gunia mzigo unaonekana tu.Kwa Wazungu na Waarabu wengi wanaangalia uso zaidi.
Binafsi huu uvaaji wa kiislam au kiyahudi hasa wale (Tznuit) nauona ni mzuri sana
Hakuna agizo la kidini linawataka wavae wanavyovaa. Hao wameamua wenyewe wala siyo takwa la kidiniVp kuhusu masista NAO wavue?
Mwanamke akionesha uchi wake ndo anapendeza?Hakuna agizo la kidini linawataka wavae wanavyovaa. Hao wameamua wenyewe wala siyo takwa la kidini
Uchi ni nini? Mwanamke yupi kaonesha uchi wake?Mwanamke akionesha uchi wake ndo anapendeza?
Wanawake kuvaa kimini ni kuonyesha uchi?Mwanamke akionesha uchi wake ndo anapendeza?
Leo nimevaa hivi, ni siku ya kutembelea wagonjwa majumbani,Sasa huo uvaazi si maamuzi ya mtu binafsi kufanya hivyo? Mbona wapo wengi wanaovaa vizuri bila kuwa kama unavyodai wewe?
Bila hata kuweka mambo ya dini mwanamke akivaa hiv iwe mkristo au mwislamu huwa wanapendeza sana View attachment 3540923
Hahaha mimi naona huwa mnapendaza sana , sijui kwa nini naona hivyo lakini🤔Leo nimevaa hivi, ni siku ya kutembelea wagonjwa majumbani,
Kumbe kimasikhara naweza kupata stara eeh😃😄
KabisaMoja ya jambo nalopenda kwenye uislamu ni uvaaji wa wanawake wa kiislamu
Miwani lazima,Hahaha mimi naona huwa mnapendaza sana , sijui kwa nini naona hivyo lakini🤔
Umetupia na vimiwani?
KweliMiwani lazima,
Tunapendeza kweli si uongo ndio maana salamu zinakua nyiiiiiiiingi
Ukiachna na akili na upumbavu wa huyo dada ila kiukweli hilo vazi limempendeza sana