Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

Uislam ni Usafi nimesema katika maeneo yote ya maisha, including sorroundings, ila tu wengi wanajali usafi wa mwili zaidi na kidogo ndani ya nyumba za kulala..ila usafi unapaswa kufanyika kote
Hili sipingi japo wachafu wapo.

Waislam kweli wanasisitiza zaidi usafi wa mwili.

Na Wakristo pia usafi wa moyo ndio unasisitizwa zaidi.

Japo wote kawa kiasi kikubwa hamfanyi hivyo.
 
Kwa hilo siwapingi , kukuta mdada wa kirangi anasugua ndala 24hrs ni kawaida , vipi kuhusu usafi wa mazingira yanayowazunguka ?
Screenshot_20260208_090924.jpg
 
Hakuna tija, kuvaa vile ni fasheni tu. Waafrika walitembea uchi wa mnyama kabisa, baadaye wakaanza kufunika sehemu za uzazi tu hasa wanawake tu huku wanaume wakiacha mitulinga yao ikining'inia kama mikia. Vijana na watoto waliendelea kutembea uchi bila kuvaa chupi/nguo hadi miaka ya hivi karibuni na ilikuwa haishangazi kukuta vijana na mabinti wako uchi kama walivyozaliwa huku wakiwa hawana tamaa ya kubakana
 
Sasa huo uvaazi si maamuzi ya mtu binafsi kufanya hivyo? Mbona wapo wengi wanaovaa vizuri bila kuwa kama unavyodai wewe?


Bila hata kuweka mambo ya dini mwanamke akivaa hiv iwe mkristo au mwislamu huwa wanapendeza sana View attachment 3540923
Leo nimevaa hivi, ni siku ya kutembelea wagonjwa majumbani,
Kumbe kimasikhara naweza kupata stara eeh😃😄
 
Back
Top Bottom