waarabu

  1. Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  2. Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  3. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  4. Mfanyakazi wa ndani raia wa India anyongwa UAE kwa mauaji ya mtoto mchanga

    Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye. Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye sheria mkononi sana yenye mafundisho binafsi ambayo yenye chuki kuanzia ngazi zote bila kuweka...
  5. Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

    Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya...
  6. Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

    Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda. Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi. Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao...
  7. Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

    Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel. Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
  8. Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  9. Jinsi Waarabu wanavyoendelea kutawala soka la Afrika

    Waarabu wameshaonja utamu wa asali ya pesa za CAF kwa hiyo wamejijengea mtandao mkubwa wa kuhakikisha hakuna boya yoyote anakuja kuwanyang'anya asali na himaya yao. Miaka ya hivi karibuni Simba na Yanga zimejitahidi kufanyafanya usajili na kujifunza mikakati michache ya ndani na nje ya uwanja...
  10. Hivi kuna watu wenye roho mbaya kama wahindi, wasomali, watutsi, na waarabu duniani? Ukiangalia wanavyowabagua wenzao ambao Ulaya huwekwa kundi moja

    Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje. Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao? Ukienda...
  11. K

    Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  12. W

    Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

    Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
  13. Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

    Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi. Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo...
  14. G

    Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

    Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia. Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud Ni boss...
  15. Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

    Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je...
  16. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  17. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  18. Ndugu Zangu Waislamu, Kwanini Waarabu Wanakimbilia Kwenye Mataifa ya Makafiri Badala ya Nchi za Kiarabu Kama Saudia na Qatar?

    Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
  19. Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
  20. UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

    Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…