Tukio hilo lilitokea mwaka 1999 / 2000 wakati Rwanda na Uganda walipovamia DRC.
Zimbabwe, Angola, na Namibia, walituma askari kupitia umoja wa SADC kumsaidia Rais Laurent Kabila.
Katika kumsaidia huko askari wa Zimbabwe walijikuta wamezingirwa na majeshi ya waasi waliokuwa wakisaidiwa na...