wabunge darasa la saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa la 7. Mbunge wako yupo?

    Wakuu, Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu. Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta...
  2. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Je, CCM hupandikiza wagombea UBUNGE na UDIWANI la 7 na Form4 ili waendelee kubaki madarakani?

    Sifa ya Mgombea ubunge na udiwani sharti awe anajua kusoma na kuandika naomba ilishapita na wakati. Ni muaka 63 sasa tangu tupate uhuru lakini mpaka leo bado tunaongozwa na wajinga. Unampaje mtu wa form4 aongoze Jimbo? Watu wasiosoma hudhani msomi anajua kila kitu na matokeo yake huishia...
Back
Top Bottom